Duka Lao “JERSEY CITY” Lipo Floor Ya Juu Mwishoni Kabisa, Wakati Jengo Linaanguka Dogo Alikua Anakimbia Kutoka Nje Hakufika Nje Jengo Zima Likamporomokea. Leo Naambiwa KAFARIKI Nilikua Mteja Wao Sana. Mwenyezi Mungu Akulaze Pahala Unapostahili Mdogo Wangu. Mbele Yetu Nyuma Yako
"For I know the plans I have for you,” declares the LORD, “plans to prosper you and not to harm you, plans to give you hope and a future."
-Jeremiah 29:11 ❤️🙏🏿
TVS STAR 125 "DJS" 🔥🔥🔥 "Benito Musolini" Unaipata kwa 1,450,000/= Tu 😋
Tairi zote Mpyaaa sana ✅| Injini bomba ✅|Full Documents ✅
Ipo Ubungo Riverside 📍
0747365096☎️
Mikoani Tunatuma 🇹🇿
NB: Ukiweza kutawala hasira na Aibu unakuwa mtu mwingine kabisa 🔥📌
Mguu wa kutoka 🔥🔥
Size 37 - 42
Bei 55,000/=
Wanawake na wanaume ✅
WhatsApp au piga simu 0682946668
Tunapatikana Dar
Tunafanya delivery
Tunatuma mikoa yote
Kuna mambo hayapo sawa kwanini wachezaji baada ya mechi kuisha watawanyike kama wanafunzi mchezaji mechi imeisha kwenye boda boda tena Public Kijeruhiwa? Nani wa kulaumiwa uongozi? Au nani kwani basi la timu lipo wapi Timu imekuwaje asee?
⏳ KAULI TATA ZILIZOWAHI KUTOLEWA NA MECK MAXIME. THREAD.
.
🧵Kocha wa Mpira,Mecky Maxime anachukuliwa kama ndiye Kocha mwenye majibu ya kutatanisha zaidi kuwahi kutokea Kwenye ardhi ya Tanzania.
.
Hapa nimekuwekea baadhi ya KAULI ZAKE TATA alizowahi kuzitoa na zikawa gumzo 😂👇