Adamu Twaibu Lugimbana
@alugimbana
ID: 1108992206
21-01-2013 13:07:35
2,2K Tweet
77 Takipçi
279 Takip Edilen
Utoaji wa Pasipoti, Vibali vya Ukaazi, Visa, udhibiti na usimamizi wa mipaka kwa njia ya kielektroniki umeimarika sana, lakini bado mnayo kazi ya kuendelea kubuni mbinu mbalimbali zitakazosaidia kuboresha utendaji wenu - Mhe. Rais Samia Suluhu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na viongozi wengine katika ufunguzi wa Mkutano wa Ubunifu wa Afya Duniani (World Innovation Summit for Health) unaofanyika Doha nchini Qatar tarehe 04 Oktoba, 2022. zuhura yunus
Adamu Twaibu Lugimbana Habari, Unaweza kufahamu iwapo Kitambulisho chako kimechapishwa na kilipopelekwa kwa ajili ya kukichukua kwa kupiga simu 0752 000 058, 0687 088 888, 0777 740 006 au 0677 146 666 au kwa kufika kwenye Ofisi ya NIDA katika wilaya ulikosajiliwa. Asante.
Adamu Twaibu Lugimbana Habari za asubuhi, Tafadhali fuata maelekezo tuliokupatia kwa hatua zaidi.