Africa Transcribe Enterprises
@afritranscribe
A Social enterprise, which empowers stakeholders with tailored solutions for inclusive growth and sustainable development.
#AfricaEmpowered #SustainableASMOs
ID: 1542582929817313280
http://www.africatranscribe.co.tz 30-06-2022 18:57:07
367 Tweet
271 Takipçi
483 Takip Edilen
Zebaki bado ni tishio kwa afya na mazingira kupitia uchimbaji mdogo wa dhahabu. Mkataba wa Minamata ulilenga kutatua hili, lakini mianya ya sheria, utekelezaji hafifu na kutoshirikishwa kwa jamii kunadumaza mafanikio. #MinamataConvention Africa Transcribe (ATRA)
Civil society organizations are the missing link in implementing the Minamata Convention. Governments alone can’t reach miners, CSOs bring community trust and solutions. Fund them, empower them, include them. #UchimbajiMdogoTz Africa Transcribe (ATRA)
Ili kuimarisha Mkataba wa Minamata tunahitaji: 1️⃣ Marufuku kamili ya zebaki kwenye uchimbaji mdogo 2️⃣ Ufuatiliaji wa biashara ya zebaki 3️⃣ Ushirikishwaji wa jamii 4️⃣ Uwekezaji kwenye teknolojia mbadala Tuchukue hatua sasa #MinamataConvention #Uendelevu Africa Transcribe (ATRA)
Makampuni ya kimataifa yana ushawishi mkubwa katika uchimbaji na biashara ya dhahabu duniani, hali inayofanya nchi nyingi za Afrika zenye migodi kubaki kama watoaji wa malighafi bila udhibiti wa bei wala thamani ya mwisho ya rasilimali zao. #HojaYakoMezani HakiRasilimali
Our teams from planetGOLD Uganda & Cote d’Ivoire projects are in Geneva this week participating in the #MinamataCOP6. As the Minamata Convention on Mercury celebrates 8 years of progress, COP-6 also offers an opportunity to reflect on lessons learned and opportunities to strengthen action.