Adv.Leonard Mjelwa (@advmjelwa) 's Twitter Profile
Adv.Leonard Mjelwa

@advmjelwa

Currently general secretary of @chadema youth wing (Ukonga)

ID: 1535492522457370624

calendar_today11-06-2022 05:22:23

1,1K Tweet

471 Takipçi

119 Takip Edilen

Adv.Leonard Mjelwa (@advmjelwa) 's Twitter Profile Photo

Tukiwa tunakaribia Kuanza mbio za uchaguzi mkuu, yupi kati ya hawa anafaa kuwa Rais wa Tanzania ama una amua kusimama na Msimamo Upi?

Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

‼️🚨TAHADHARI NI BORA KULIKO KILIO - LISSU MSIMGUSE🚨‼️ Tokea jana usiku watu mbalimbaki walinitafuta DM kuhusu wanachodai ni mpango wa kumpa sumu Tundu Lissu akiwa gerezani wengine wakisema wamesikia unabii ila nimewaambia haiwezekani maana ni njama ya kipumbavu! Ila leo kuna

‼️🚨TAHADHARI NI BORA KULIKO KILIO - LISSU MSIMGUSE🚨‼️
Tokea jana usiku watu mbalimbaki walinitafuta DM kuhusu wanachodai ni mpango wa kumpa sumu Tundu Lissu akiwa gerezani wengine wakisema wamesikia unabii ila nimewaambia haiwezekani maana ni njama ya kipumbavu! 
Ila leo kuna
SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Kuna taarifa za KUMUUA LISSU KWA SUMU tumezipata. Hii sio taarifa ya kupuuzia kabisa maana siku tutakayopuuzia ndio siku watakayo timiza haja yao ya muda mrefu. TUNDU LISSU alikamatwa akiwa mzima wa AFYA, kikitokea chochote kibaya hakika kama TAIFA hatutakubali na utakuwa

Kuna taarifa za KUMUUA LISSU KWA SUMU tumezipata. 

Hii sio taarifa ya kupuuzia kabisa maana siku tutakayopuuzia ndio siku watakayo timiza haja yao ya muda mrefu.

TUNDU LISSU alikamatwa akiwa mzima wa AFYA, kikitokea chochote kibaya hakika kama TAIFA hatutakubali na utakuwa
Tanzania Leaks (@tanzanialeaks) 's Twitter Profile Photo

ALERT: Mzee wetu Joseph Warioba, ongeza Ulinzi. Wanamtandao, aka Wahuni, wameshakubaliana kwamba wewe ndio Godfather wa Polepole. #TanzaniaLeaks

ALERT: Mzee wetu Joseph Warioba, ongeza Ulinzi. Wanamtandao, aka Wahuni, wameshakubaliana kwamba wewe ndio Godfather wa Polepole. #TanzaniaLeaks
Young Africans SC (@youngafricanssc) 's Twitter Profile Photo

Young Africans SC tutakutana na Wiliete Benguela SC kutoka Angola kwenye mchezo wa hatua ya awali ya Klabu Bingwa Barani Afrika kati ya tarehe 19-21 Mwezi wa 09, 2025. #CAFCL #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko

Young Africans SC tutakutana na Wiliete Benguela SC kutoka Angola kwenye mchezo wa hatua ya awali ya Klabu Bingwa Barani Afrika kati ya tarehe 19-21 Mwezi wa 09, 2025. #CAFCL 

#TimuYaWananchi 
#DaimaMbeleNyumaMwiko
Jambo TV (@jambotv_) 's Twitter Profile Photo

VIDEO: Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeendelea kusisitiza kuwa msimamo wake wa “No reform no election” ni njia pekee ya kupata Katiba mpya na mabadiliko makubwa ya mageuzi nchini. Akizungumza na waandishi wa habari Jijini Mwanza siku ya Jumamosi, Katibu wa

Emmanuel Mwita (@ej_mwita) 's Twitter Profile Photo

POLEPOLE AMECHAFUKWA, 😂😂😂😂 Anakwambia, Unaendaje kwenye uchaguzi na CHAUMA ambao ni mpango wa kando na sote tunajua au na ACT ambayo ni CCM-B, chama kilichoanzishwa na ZITTO kwa ufadhili wa KIKWETE 😂😂😂

Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

Hii picha ilipigwa mwaka 2013 Mahakama Kuu ya Tanzania wakati huo Dalali wa Siasa kwa kushirikiana na Wanamtandao aliishitaki CHADEMA. Mhe. Lissu ndo alikuwa anaongoza jopo la Mawakili akisaidiwa na Wakili Kibatala, pembeni ni Wakili Hekima Mwasipu.

Hii picha ilipigwa mwaka 2013 Mahakama Kuu ya Tanzania wakati huo Dalali wa Siasa kwa kushirikiana na Wanamtandao aliishitaki CHADEMA. 

Mhe. Lissu ndo alikuwa anaongoza jopo la Mawakili akisaidiwa na Wakili Kibatala, pembeni ni Wakili Hekima Mwasipu.
Shija S.S.Shibeshi (@shijashibeshi) 's Twitter Profile Photo

Mwaka Huu Tutafanya Maadhimisho ya Siku ya Vijana Kidigitali. Ukitaka kupambana na Mjinga Tumia akiri! Stay Tuned 🇹🇿💪💪💪

Mwaka Huu Tutafanya Maadhimisho ya Siku ya Vijana Kidigitali.
Ukitaka kupambana na Mjinga Tumia akiri!
Stay Tuned 🇹🇿💪💪💪