Prof. Palamagamba John Kabudi (@j_kabudi) 's Twitter Profile
Prof. Palamagamba John Kabudi

@j_kabudi

Kilosa MP

ID: 1389190626692980736

calendar_today03-05-2021 12:10:54

11 Tweet

1,1K Takipçi

23 Takip Edilen

Prof. Palamagamba John Kabudi (@j_kabudi) 's Twitter Profile Photo

Waziri wa Katiba na Sheria Prof. Palamagamba J.A.M Kabudi amefungua na kushiriki kikao cha Baraza la Wafanyakazi wa Wizara ya Katiba na Sheria kilichofanyika katika ukumbi wa Chuo Kikuu cha Kilimo Sokoine (SUA) mapema leo mjini Morogoro

Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Nimepokea kwa masikitiko taarifa ya kifo cha Bi. Anna Mghwira (Mkuu wa Mkoa Mstaafu). Katika utumishi wake alikuwa mchapakazi, jasiri na aliyepigania maendeleo hasa ya Wanawake. Nawapa pole wafiwa wote, ndugu, jamaa na marafiki. Mungu aiweke roho yake mahali pema peponi, Amina.

Nimepokea kwa masikitiko taarifa ya kifo cha Bi. Anna Mghwira (Mkuu wa Mkoa Mstaafu). Katika utumishi wake alikuwa mchapakazi, jasiri na aliyepigania maendeleo  hasa  ya Wanawake. Nawapa pole wafiwa wote, ndugu, jamaa na marafiki. Mungu aiweke roho yake mahali pema peponi, Amina.
Prof. Palamagamba John Kabudi (@j_kabudi) 's Twitter Profile Photo

KIKAO CHA MAKATIBU WAKUU NA WAKUU WA TAASISI CHA KUJADILI MFUMO JUMUISHI WA UANGALIZI WA UTAJIRI ASILIA NA MALI ASILI ZA NCHI - TAREHE 22 JULAI, 2021 - ARUSHA. "Utajiri asilia na mali asili ni urithi wetu, tuendelee kuulinda kwa weredi na moyo wa kizalendo"

KIKAO CHA MAKATIBU WAKUU NA WAKUU WA TAASISI CHA KUJADILI MFUMO JUMUISHI WA UANGALIZI WA UTAJIRI ASILIA NA MALI ASILI ZA NCHI - TAREHE 22 JULAI, 2021 - ARUSHA.
"Utajiri asilia na mali asili ni urithi wetu, tuendelee kuulinda kwa weredi na moyo wa kizalendo"
Prof. Palamagamba John Kabudi (@j_kabudi) 's Twitter Profile Photo

Nawashukuru Makatibu Wakuu na Wakuu wa Taasisi pamoja na UNDP kwa kuitikia wito wa Wizara ya Katiba na Sheria kuhudhuria kikao hiki muhimu kwa manufaa ya utajiri na mali asilia za nchi yetu.

Nawashukuru Makatibu Wakuu na Wakuu wa Taasisi pamoja na UNDP kwa kuitikia wito wa Wizara ya Katiba na Sheria kuhudhuria kikao hiki muhimu kwa manufaa ya utajiri na mali asilia za nchi yetu.
Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Nawapongeza timu ya Taifa ya Vijana chini ya miaka 23 kwa kutwaa ubingwa wa Mashindano ya Afrika Mashariki na Kati (CECAFA-2021). Ushindi huu ni heshima kwa nchi yetu na ni chachu ya kukuza michezo. Natoa wito kwa wadau wa michezo kuendeleza jitihada za kukuza michezo yetu.

Nasikitika kuwajulisha kuwa aliyekuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Elias John Kwandikwa amefariki dunia. Nitakumbuka umahiri wake katika uongozi na uzalendo. Natoa pole kwa familia, Jeshi, Bunge na wananchi wa Jimbo la Ushetu. Mungu amweke mahali pema peponi, Amina

Nimehutubia kwa mara ya kwanza Mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa. Nimeihakikishia Dunia kuwa Tanzania ni ileile yenye na amani na ushirikiano na nchi zote, nimeeleza imani yangu kuwa changamoto za dunia tunaweza kuzikabili kwa pamoja ikiwemo janga la Uviko-19.

Nasikitika kuwajulisha kuwa aliyekuwa Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwekezaji Mhe. William Tate Ole Nasha amefariki dunia Jijini Dodoma. Natoa pole kwa Spika Mhe. Job Ndugai, Wabunge, Familia na Wananchi wa Ngorongoro. Mungu aiweke roho yake mahali pema peponi, Amina.

Nakupongeza Bw. Abdulrazak Gurnah kwa kutunukiwa Tuzo ya Nobel katika fasihi ya mwaka 2021. Tuzo hii ni heshima kwako, Taifa letu la Tanzania na Afrika.