REPOSTER (@itsreposter) 's Twitter Profile
REPOSTER

@itsreposter

follow me for more repost

ID: 1544319077455364105

calendar_today05-07-2022 13:56:00

225 Tweet

13 Followers

12 Following

sultan bachi (@sultanbachi) 's Twitter Profile Photo

Nasikitika kuona kwa sasa itabidi waridhiane na makundi mawili. 1. Vyama vyao vya upinzani 2. Raia (wao huita wanyonge) Namba moja inaweza ikatiki wanajuana, shughuli ni hiyo namba mbili (wamevurugwa). MCC wangejua wangeridhianaga na MDC mapema tu (viburi, na majivuno)

sultan bachi (@sultanbachi) 's Twitter Profile Photo

Shida jamaa nikujiona machampion wa muda wote! Believe me kama wanadhani kuleta hoja za kidini ni udhaifu kwa watz basi wamechambia upupu!!

sultan bachi (@sultanbachi) 's Twitter Profile Photo

Kwasasa hakuna mtu anayeshawishiwa kuikosoa serikali. Kwasasa hakuna mtu anayeshawishiwa kufanya maandamano kwa tarehe yoyote inayopendekezwa. Kwasasa hakuna mtu anayeogopa risasi za polisi wala kesi za kubambikizwa. NB: Wasikilizeni wananchi na mfanyie kazi matakwa yao.

sultan bachi (@sultanbachi) 's Twitter Profile Photo

Tulilelewa katika kipindi ambacho familia ilikula chakula cha jioni pamoja mezani, majirani walikuwa kama familia, watoto walicheza nje hadi giza, na tulishukuru kwa kile kidogo tulichokuwa nacho. Ulimwengu huo haupo tena Leo wamenyanyuka watu wabaya, wenye tamaa, wasio na utu.

sultan bachi (@sultanbachi) 's Twitter Profile Photo

Taifa lenye watu 70+ million halina hata kiongozi mmoja aliyechaguliwa kwa mapenzi ya watu, halafu demokrasia inavyohubiriwa sasa. Kuweni na aibu basi, hamna title deed ya hii nchi.

Taifa lenye watu 70+ million halina hata kiongozi mmoja aliyechaguliwa kwa mapenzi ya watu, halafu demokrasia inavyohubiriwa sasa.

Kuweni na aibu basi, hamna title deed ya hii nchi.
sultan bachi (@sultanbachi) 's Twitter Profile Photo

"TEC wamesimama imara nyakati zote kutetea haki na kuhimiza utawala bora. Wanaoleta hoja mufilisi za udini wanaonesha matatizo yao wenyewe. Udini ni wao. Bahati nzuri GenZ wamewakataa. Itabidi wabuni njia nyingine kuhalalisha maovu. Kweli penye wengi pana mengi" Anna Tibaijuka

"TEC wamesimama imara nyakati zote kutetea haki na kuhimiza utawala bora. Wanaoleta hoja mufilisi za udini wanaonesha matatizo yao wenyewe. Udini ni wao. Bahati nzuri GenZ wamewakataa. Itabidi wabuni njia nyingine kuhalalisha maovu. Kweli penye wengi pana mengi"

<a href="/AnnaTibaijuka/">Anna Tibaijuka</a>
sultan bachi (@sultanbachi) 's Twitter Profile Photo

“Tunapofanya hii kazi tukaangalie matamshi ya wapinzani waliosema lazima kiwake, ni kitu gani kiliwafanya waseme hivyo. Tunaambiwa vijana walioingia barabarani kudai haki walilipwa ndiyo wakaingia, kaangalieni na hilo pia.”

“Tunapofanya hii kazi tukaangalie matamshi ya wapinzani waliosema lazima kiwake, ni kitu gani kiliwafanya waseme hivyo.

Tunaambiwa vijana walioingia barabarani kudai haki walilipwa ndiyo wakaingia, kaangalieni na hilo pia.”
sultan bachi (@sultanbachi) 's Twitter Profile Photo

Kipindi cha maandamano ya #October29 huku Kwetu Dodoma zilivuma habari za mwili wa polepole umeonekana coco beach ukiwa hauna macho wala meno! Huko kwenu habari gani za uongo zilivuma?

Kipindi cha maandamano ya #October29 huku Kwetu Dodoma zilivuma habari za mwili wa polepole umeonekana coco beach ukiwa hauna macho wala meno!

Huko kwenu habari gani za uongo zilivuma?