RAH NGOMUO (@itc__reyna) 's Twitter Profile
RAH NGOMUO

@itc__reyna

female king mkulima/mfugaji memes lover

ID: 855903440547041285

linkhttps://instagram.com/itc_reyna?igshid=OGQ5ZDc2ODk2ZA== calendar_today22-04-2017 21:57:36

5,5K Tweet

27,27K Followers

504 Following

RAH NGOMUO (@itc__reyna) 's Twitter Profile Photo

Itโ€™s my birthday week baby! Niko kwenye mood ya kupendwa, kusherehekewa, na kupokea zawadi kwa mikono miwili ๐ŸŽ‰๐ŸŽ‚ #LoveMeLoudly ๐Ÿ˜โค๏ธโ€๐Ÿฉน

Itโ€™s my birthday week baby!
Niko kwenye mood ya kupendwa,
kusherehekewa, na kupokea zawadi kwa mikono miwili ๐ŸŽ‰๐ŸŽ‚

#LoveMeLoudly

๐Ÿ˜โค๏ธโ€๐Ÿฉน
RAH NGOMUO (@itc__reyna) 's Twitter Profile Photo

Itโ€™s my birthday week baby! Niko kwenye mood ya kupendwa, kusherehekewa, na kupokea zawadi kwa mikono miwili ๐ŸŽ‰๐ŸŽ‚ #LoveMeLoudly

Itโ€™s my birthday week baby!
Niko kwenye mood ya kupendwa,
kusherehekewa, na kupokea zawadi kwa mikono miwili ๐ŸŽ‰๐ŸŽ‚

#LoveMeLoudly
RAH NGOMUO (@itc__reyna) 's Twitter Profile Photo

Serving birthday energy straight from the shamba๐Ÿ”ฅ๐ŸŽ‰ 1st June is mine- and yes, M-Pesa ni open 24/7๐Ÿคญ๐ŸŒพ๐Ÿ’ธ

Serving birthday energy straight from the shamba๐Ÿ”ฅ๐ŸŽ‰
1st June is mine- and yes, M-Pesa ni open 24/7๐Ÿคญ๐ŸŒพ๐Ÿ’ธ
RAH NGOMUO (@itc__reyna) 's Twitter Profile Photo

Mimi si provider, mimi ni plan ya maisha ukiwa na mimi unakuwa na retirement sorted!๐Ÿง“๐Ÿพ๐Ÿ’ผ๐Ÿ“ˆ๐Ÿ’ธโค๏ธ๐Ÿ๏ธ

Mimi si provider, mimi ni plan ya maisha ukiwa na mimi unakuwa na retirement sorted!๐Ÿง“๐Ÿพ๐Ÿ’ผ๐Ÿ“ˆ๐Ÿ’ธโค๏ธ๐Ÿ๏ธ
RAH NGOMUO (@itc__reyna) 's Twitter Profile Photo

Tumechaguliwa kwenye TOP 3 ya tuzo za Digital Men & Women of The Year (Biashara ya Kilimo) ๐Ÿ™Œ๐Ÿฝ Bila nyinyi nisingefika hapa โ€“ AHSANTENI sana familia yangu ya Twitter! ๐Ÿฅนโค๏ธ Mlijua kunipambania sana Naomba tena support yenu ๐Ÿ™๐Ÿฝ ๐Ÿ—ณ๏ธ JINSI YA KUPIGA KURA: 1๏ธโƒฃ Nenda Instagram page:

Tumechaguliwa kwenye TOP 3 ya tuzo za Digital Men & Women of The Year (Biashara ya Kilimo) ๐Ÿ™Œ๐Ÿฝ
Bila nyinyi nisingefika hapa โ€“ AHSANTENI sana familia yangu ya Twitter! ๐Ÿฅนโค๏ธ
Mlijua kunipambania sana 

Naomba tena support yenu ๐Ÿ™๐Ÿฝ
๐Ÿ—ณ๏ธ JINSI YA KUPIGA KURA:
1๏ธโƒฃ Nenda Instagram page:
RAH NGOMUO (@itc__reyna) 's Twitter Profile Photo

Kila tone la jasho, kila usiku wa kukata tamaa, kila maombi niliyonyamaza nayo moyoni leo vina maana. Tuzo hii siyo tu ya ushindi, ni ya ushuhuda๐Ÿ™๐Ÿพ Kwamba mwanzo mdogo hauwezi kuficha neema kubwa. Asante Mungu kwa kuniamini hata pale nilipojiuliza kama naweza. Asante kwa familia,

Kila tone la jasho, kila usiku wa kukata tamaa, kila maombi niliyonyamaza nayo moyoni leo vina maana.
Tuzo hii siyo tu ya ushindi, ni ya ushuhuda๐Ÿ™๐Ÿพ
Kwamba mwanzo mdogo hauwezi kuficha neema kubwa.
Asante Mungu kwa kuniamini hata pale nilipojiuliza kama naweza.
Asante kwa familia,