Serikali ya Wanafunzi ISW (@iswosohabari) 's Twitter Profile
Serikali ya Wanafunzi ISW

@iswosohabari

Ukurasa rasmi wa Serikali ya Wanafunzi Taasisi ya Ustawi wa Jamii ISWOSO 2023/24
Ukurasa huu unaendeshwa na Wizara ya Mambo ya Nje na Mawasiliano ISWOSO 2023/24

ID: 1543705145640472578

calendar_today03-07-2022 21:16:29

76 Tweet

24 Followers

13 Following

Serikali ya Wanafunzi ISW (@iswosohabari) 's Twitter Profile Photo

Hongera Grace Oscar - Waziri, Joseph Gayo - Naibu Waziri, pamoja na Frank Anangisye - Naibu Waziri. Wizara ya Michezo imekuwa Wizara Bora katika mwezi wa November. Kwa kuzingatia Utekelezaji wa ilani, Uchapaji kazi, Nidhamu, Ushirikiano na Udhubutu wa kutekeleza majukumu yenu.

Mdahalo wa Vijana unaongazia mapambano dhidi ya ugonjwa wa Saratani. Wewe kama kijana unajua nini unapaswa kufanya kujikinga na Ugonjwa wa Saratani? Jumuika nasi sasa kupitia bit.ly/MDAHALOWAKITAA… #iswosomawasiliano

Mdahalo wa Vijana unaongazia mapambano dhidi ya ugonjwa wa Saratani.  
Wewe kama kijana unajua nini unapaswa kufanya kujikinga na Ugonjwa wa Saratani?  

Jumuika nasi sasa kupitia bit.ly/MDAHALOWAKITAA…

#iswosomawasiliano
Serikali ya Wanafunzi ISW (@iswosohabari) 's Twitter Profile Photo

Mheshimiwa Waziri Mkuu ndugu @gc_madihi mdaa huu anahutubia Bunge la Serikali ya Wanafunzi Chuo cha Ustawi wa Jamii katika kupitisha Muswada wa Katiba mpya ya Serikali ya wanafunzi (ISWOSO) pamoja na miongozo mbalimbali iliyoundwa chini Baraza la mawaziri.

Kikao cha Bunge la Serikali ya Wanafunzi Chuo cha Ustawi wa Jamii Cha kupitisha Katiba Mpya iliyofanyiwa Mabadiliko yanayolenga maslahi ya wanafunzi wa Chuo cha Ustawi wa Jamii Campus ya Dar es Salaam ( Kijitonyama) na Campus ya Kisangara mkoani Kilimanjaro. #iswosolegacy

Kikao cha Bunge la Serikali ya Wanafunzi Chuo cha Ustawi wa Jamii Cha kupitisha Katiba Mpya iliyofanyiwa Mabadiliko yanayolenga maslahi ya wanafunzi wa Chuo cha Ustawi wa Jamii Campus ya Dar es Salaam ( Kijitonyama) na Campus ya Kisangara mkoani Kilimanjaro.
#iswosolegacy
Serikali ya Wanafunzi ISW (@iswosohabari) 's Twitter Profile Photo

Katiba ya Serikali ya Wanafunzi ilianzishwa mwaka 1992 na kubadilishwa mwaka 2015 na kufanyiwa mapitio na Serikali ya Wanafunzi chini ya uongozi wa Rais Mickdad Uhuru na makamu wa Rais Sandra Mdami.

Serikali ya Wanafunzi kwa mwaka 2023/2024 iliona kunahaja ya kufanyiwa marekebisho na kukusanya maoni kutoka kwa wanafunzi na kuibadilisha kupitia mchujo wa maoni ya wanafunzi na viongozi ikiwa ni sehemu ya utekelezaji kwa uwazi. #iswosolegacy # iswosokatiba

Serikali ya Wanafunzi kwa mwaka 2023/2024 iliona kunahaja ya kufanyiwa marekebisho na kukusanya maoni kutoka kwa wanafunzi na kuibadilisha kupitia mchujo wa maoni ya wanafunzi na viongozi ikiwa ni sehemu ya utekelezaji kwa uwazi.

#iswosolegacy
# iswosokatiba
Serikali ya Wanafunzi ISW (@iswosohabari) 's Twitter Profile Photo

Kama wewe ni Binti Mwanachuo hii siyo yakukosaa. Anza sasa kujisajili kupitia link: bit.ly/BintiNaUongozi… au Scan QR Code kujiunga. #jitambuejiaminichangamkiafursa #ChuochaUstawiwaJamii

Kama wewe ni Binti Mwanachuo hii siyo yakukosaa. 
Anza sasa kujisajili kupitia link:  bit.ly/BintiNaUongozi… 
au Scan QR Code kujiunga.

#jitambuejiaminichangamkiafursa 
#ChuochaUstawiwaJamii
Serikali ya Wanafunzi ISW (@iswosohabari) 's Twitter Profile Photo

The Prime minister shall have authority over the control, supervision and execution of the day to day functions and affairs of the ISWOSO Government. #togetherwerisetogetherwelead #isw #iswoso2025/2026

The Prime minister shall have authority over the control, supervision and execution of the day to day functions and affairs of the ISWOSO Government.

#togetherwerisetogetherwelead 
#isw 
#iswoso2025/2026
Serikali ya Wanafunzi ISW (@iswosohabari) 's Twitter Profile Photo

Chuo cha Ustawi wa Jamii kina mazingira mazuri na tulivu, yanayofaa kwa masomo. Kina miundombinu ya kisasa kama madarasa, maktaba. Pia kuna ushirikiano mzuri kati ya walimu na wanafunzi, unaochochea maendeleo ya kitaaluma na kijamii. #Iswosomawasiliano

Serikali ya Wanafunzi ISW (@iswosohabari) 's Twitter Profile Photo

*HAPPY BIRTHDAY* Hon.Zidane Fadhili Abdallah. Today we celebrate the of our esteemed colleague and friend, Hon.Zidane Fadhili Abdallah Isw President May you continue to shine the wisdom, service and excellence.Wishing you many years of prosperity, joy and impactful leadership.

*HAPPY BIRTHDAY* Hon.Zidane Fadhili Abdallah.

Today we celebrate the of our esteemed colleague and friend, Hon.Zidane Fadhili Abdallah Isw President 

May you continue to shine the wisdom, service and excellence.Wishing you many years of prosperity, joy and impactful leadership.