
kipingu-jr
@issasrkipingu
football fans @Simbasc@Arsenal
ID: 2372796455
01-03-2014 09:17:34
11,11K Tweet
1,1K Followers
1,1K Following








Mwalimu George Ambangile umepata majibu





Tito Magoti Dawa Ya Kuondolewa Kwa Jeuri Za Watawala Dhidi Ya Uvunjwaji Wa Hiki Za Msingi Za Raia Ni Kuendelea Kudai Reform's Za Tume Huru Ya Uchaguzi Ii Tupao Viongozi Watakao Leta Mchakato Wa Kuipata Katiba Mpya,Ili Tuwe Na Taifa Lenye Kuzingatia Utawala Wa Sheria..


Tunaanza Maandamano kuelekea Bungeni. Tuma emails:👇 Katibu wa Bunge: [email protected] Spika: [email protected] Waambie tunataka haki ktk chaguzi. Tunataka kuishi salama ktk Taifa letu. #NoReformsNoElection




#BreakingNews Habari mbaya na zakutisha mama wa mwanaharakati na mwanachama wetu JAPHET MATARRA amenipigia muda huu nakunimbia MATARA usiku wa kuamkia leo alivamiwa na watu wasio julikana akiwa anarudi nyumbani kaumizwa vibaya sana wamemvunja taya kusimama wala kuongea hawezi.

