Ikitokea umekaa karibu na mtu anayesema hip-hop/rap/boombap ngumu msikilizishe wimbo NINI DHAMBI by FAZA Nelly (RIP) alafu msikilizishe ubeti wa LANGA (RIP) kwenye KIMBIA ya BABUU! Mpige makofi mawili alafu mwambie yeye ndiye ana ugumu wa kuelewa kwenye akili yake! #HipHop
Tunatumia kila mbinu
Juju, uhalifu, upanganyifu
Ili tuweze kujikimu
Lakini isiwe kisingizio kwa wanadamu wengine kunyimwa haki zetu
Kutuzibia riziki zetu
Kutuita makafiri, dharau na kutukashifu
Kwani nini dhambi