irene msoma (@irynmsoma94) 's Twitter Profile
irene msoma

@irynmsoma94

still the same girl with the same name just a different mindset and a new game

ID: 1453964926888734721

calendar_today29-10-2021 06:00:53

230 Tweet

2,2K Followers

83 Following

Michael Sessan (@msessan) 's Twitter Profile Photo

Ni siku ya 4 toka Daniel Chonchorio atekwe na watu wasiojulikana maeneo ya nyumbani kwake Nyakato Mwanza Chox ni Mtanzania mwenzetu,Ndugu na Rafiki wa wengi. Tunaomba tuungane Kwa pamoja kuendelea kupaza sauti ili apatikane akiwa salama 🙏 Plz RT/Share #FreeDanielChonchorio

Ni siku ya 4  toka Daniel Chonchorio atekwe na watu wasiojulikana maeneo ya nyumbani kwake Nyakato Mwanza 

Chox ni Mtanzania mwenzetu,Ndugu na Rafiki wa wengi.

Tunaomba tuungane Kwa pamoja kuendelea kupaza sauti ili apatikane akiwa salama 🙏
Plz RT/Share 
#FreeDanielChonchorio
#BRINGBACKDANIELCHONCHORIO (@manaal_ms) 's Twitter Profile Photo

Daniel chonchorio Nyamohanga. Mnamo siku ya jumapili tarehe 22 march Daniel chonchorio nyamohanga alipotea katika mazingira ya kutatanisha. Aliondoka kwenda kufanya jogging na mpaka sasa hajarejea. Daniel ni baba, ni kaka, ni mume, ni mjomba. Daniel ni kichwa cha familia, kuna

Daniel chonchorio Nyamohanga.

Mnamo siku ya jumapili tarehe 22 march Daniel chonchorio nyamohanga alipotea katika mazingira ya kutatanisha. Aliondoka kwenda kufanya jogging na mpaka sasa hajarejea.

Daniel ni baba, ni kaka, ni mume, ni mjomba.
Daniel ni kichwa cha familia, kuna
Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

#FreeDanielChonchorio Nyie Police Force TZ kuna taarifa kuwa mmeanza kukamata ndugu na marafiki wa Daniel wanaofuatilia utekaji wake! Nyie fuatilieni huko kwenu nani kahusika na utekaji na mrudisheni akiwa hai! Watu mliowakamata - Sabatho Mswideni ,Muddy ,Mlokozi ,Eddy waachieni wana

#FreeDanielChonchorio
Nyie <a href="/tanpol/">Police Force TZ</a> kuna taarifa kuwa mmeanza kukamata ndugu na marafiki wa Daniel wanaofuatilia utekaji wake!
Nyie fuatilieni huko kwenu nani kahusika na utekaji na mrudisheni akiwa hai!
Watu mliowakamata - Sabatho Mswideni ,Muddy ,Mlokozi ,Eddy waachieni wana
#BRINGBACKDANIELCHONCHORIO (@manaal_ms) 's Twitter Profile Photo

DANIEL CHONCHORIO NYAMOHANGA. Ni siku ya 6 sasa tangu kutekwa kwa daniel chonchorio nyamohanga, nyakato Mwanza Mpaka sasa hatuna majibu yalionyooka. Chonchori ni mtanzania mwenzetu, ni ndugu na rafiki wa watu wengi, sifa kubwa ya chonchori ni ukarimu wake na upole wake, na

DANIEL CHONCHORIO NYAMOHANGA. 

Ni siku  ya 6 sasa tangu kutekwa kwa daniel chonchorio nyamohanga, nyakato Mwanza 
Mpaka sasa hatuna majibu yalionyooka. 

Chonchori ni mtanzania mwenzetu, ni ndugu na rafiki wa watu wengi, sifa kubwa ya chonchori ni ukarimu wake na upole wake, na
#BRINGBACKDANIELCHONCHORIO (@manaal_ms) 's Twitter Profile Photo

Hivi kweli kabisa sisi ni watoto wadogo wa kudanganywa kua serikali haijui daniel chonchorio alipo??? Hivi kweli mmefikiria kua anawatoto nyumbani amewaacha wanahali gani??? Sisi watu wake wa karibu mnajia hali ikoje??? Mnajua ndugu zake wana hali gani?? Kwann msiweke wazi ili

Hivi kweli kabisa sisi ni watoto wadogo wa kudanganywa kua serikali haijui daniel chonchorio alipo??? 
Hivi kweli mmefikiria kua anawatoto nyumbani amewaacha wanahali gani??? 
Sisi watu wake wa karibu mnajia hali ikoje???  Mnajua ndugu zake wana hali gani?? Kwann msiweke wazi ili
#BRINGBACKDANIELCHONCHORIO (@manaal_ms) 's Twitter Profile Photo

#BringBackdanielChonchorio #WherelsChox #FreeChox #FreeChonchorio #FreeDanielChonchorio #BringBackdanielChonchorio #JusticeForChonchorio Day 6

#BringBackdanielChonchorio
#WherelsChox
#FreeChox
#FreeChonchorio
#FreeDanielChonchorio
#BringBackdanielChonchorio
#JusticeForChonchorio
Day 6
#BRINGBACKDANIELCHONCHORIO (@manaal_ms) 's Twitter Profile Photo

We pray, we will never stop praying. We will raise our voices even in the silence of the night. When hope seems distant, we will still believe. When the road is rough, we will still kneel. For Daniel Chonchorio, we will call upon heaven. No matter how long it takes, we will not

We pray, we will never stop praying. We will raise our voices even in the silence of the night. When hope seems distant, we will still believe. When the road is rough, we will still kneel. For Daniel Chonchorio, we will call upon heaven. No matter how long it takes, we will not
Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

Saa 19:35 usiku Mbuyuni sokoni, Moshi kuna wahuni wamekwenda na ALPHARD rangi nyeusi kumteka kijana mmoja ambaye ni dereva bajaji eneo hilo, wakati wanataka kuondoka naye raia wa eneo hilo wakaliamsha dude. Wahuni wakatoa pingu lakini wamevaa kiraia. Hawakufanikiwa kumteka tena.

Mercides  (@caltexjr1) 's Twitter Profile Photo

Naomba Samia Arudie ile statement yake kwamba Who are you ??! Sasa mkubwa wadunia kesi Imemfikia When the big man talks they mean business Long live the united states Repost 780