Taarifa ni Maisha (@infolifetz) 's Twitter Profile
Taarifa ni Maisha

@infolifetz

Info LifeTz is an Integrated Social Media Project (ISMP) empowering youth through Good Governance, comprehensive SRH&R, HIV and GBV info |Salama Foundation

ID: 948160956269584385

linkhttp://www.salamafoundation.or.tz calendar_today02-01-2018 11:56:02

5,5K Tweet

2,2K Followers

2,2K Following

Man Like Sule™ (@maichagange) 's Twitter Profile Photo

Kupitia matumizi mazuri ya mitandao tunaweza kujifunza kuhusu huduma bora za afya ya uzazi pamoja na kutokomeza mimba za utotoni #ChatKijanja

Taarifa ni Maisha (@infolifetz) 's Twitter Profile Photo

Kama unapata picha,video au maneno yanayokuletea hofu na wasiwasi, usiyatumie.Repoti,block na utafute msaada.Ulinzi wa mtandaoni ni haki yako. #ChatKijanja #noexcuse

KIPEPE 💊 (@kipepe123) 's Twitter Profile Photo

Maneno mazuri mitandaoni yanajenga urafiki,maneno mabaya yanabomoa na kumomonyoa maadili na utu.Kataa ulatili wa mtandaoni.#ChatKijanja #noexcuse

Maneno mazuri mitandaoni yanajenga urafiki,maneno mabaya yanabomoa na kumomonyoa maadili na utu.Kataa ulatili wa mtandaoni.#ChatKijanja #noexcuse
Taarifa ni Maisha (@infolifetz) 's Twitter Profile Photo

Rafiki anaekulazimisha kufanya kitu mtandaoni ambacho hauko tayari ni hatari.Usikubali,linda mipaka yako.#ChatKijanja #noexcuse

Mzazi,Jitahidi upate nafasi ya kuangalia apps na chats wanazotumia watoto wako.Simamia bila kudhuru heshima yao.Zingatia matumizi salama ya mitandao. #ChatKijanja #noexcuse

Walimu wanaweza kuwaelekeza wanafunzi namna ya kupambana na ukatili wa kijinsia ukiwemo ule wa mtandaoni.Hii itasaidia kutokomeza matendo ya ukatili hasa kwa wasichana wadogo. #ChatKijanja #noexcuse

Wazazi, zungumzeni na watoto kuhusu matumizi salama ya mtandao. Wakumbesheni kuhusu picha, jumbe, video zenye maadili pamoja na mazungumzo wanayoyafanya. Uelewa ni kinga. #ChatKijanja #noexcuse

Tunaweza kubadilisha tabia ya vijana mtandaoni bila kuingilia uhuru wao kwa kupitia elimu,heshima na usalama.#ChatKijanja #noexcuse

Kuwa rafiki mwema , paza sauti kukemea auna yoyote ya ukatili wa mtandaoni. Himiza matumizi salama ya mitandao. #ChatKijanja #noexcuse

Ukatili dhidi ya wanawake si tu wa kimwili. Maneno, vitisho na hasa mtandaoni pia huumiza. Tutokomeze aina zote za ukatili wa kijinsia. #ChatKijanja #noexcuse