Wengi wameona maajabu ya SIMBA Ila wachache wameona kazi kubwa aliyoifanya kocha Fadlu Davids. Mwamba ameisuka timu ndani ya muda mfupi sana na ameifanya kuwa tishio barani Afrika. Tumpe respect kwa kuRetweet mpaka tweet hii imfikie.
Pongezi za dhati kwa Klabu ya Simba kwa ushindi katika mchezo wa mashindano ya Kombe la Shirikisho Afrika (CAF Confederation Cup). Ushindi wenu ni furaha kwa mashabiki wenu na burudani kwa Watanzania wote. Ninawatakia kila la kheri katika Nusu Fainali.