loojay47 ✨ (@ilujuo548) 's Twitter Profile
loojay47 ✨

@ilujuo548

yule boy548

ID: 1709096683848491008

calendar_today03-10-2023 06:43:24

2,2K Tweet

163 Followers

608 Following

SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Saizi ukienda hospitali andaa kabisa hela ya kodi ya MAVI. Tulisema ni swala la muda tuu tutalipa mpaka kodi ya KUJAMBA. Wadudu wa chuga mbwembwe zote za mitandaoni kujifanya wagumu ila mavi wanalipia kodi. TUTAKUWEPO🫵😎

SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Hello, FIFA I hope this message reaches you well. I am a football fan, and one of my favorite teams in my country is Young Africans Sports Club, commonly known as YANGA. Our team is led by a president who is also involved in politics. A few weeks ago, he tried to run for a

Hello, <a href="/FIFAcom/">FIFA</a> 

I hope this message reaches you well. I am a football fan, and one of my favorite teams in my country is Young Africans Sports Club, commonly known as YANGA.

Our team is led by a president who is also involved in politics. A few weeks ago, he tried to run for a
𝐋𝐚𝐛𝐞𝐥𝐥𝐚 𝐌𝐚𝐟𝐢𝐚 (@labella_mafia95) 's Twitter Profile Photo

Nilitegemea mpaka sasa Eng Heris awe amejiuzulu nafasi yake kama rais wa Yanga. Anataka kutuaminisha kwamba GSM Foundation ndio Young Africans? Maelezo yaliyotolewa na uongozi wa klabu hayalingani na taarifa ya awali tuliyoipokea kwenye harambee. — Thread:⤵️

Nilitegemea mpaka sasa Eng Heris awe amejiuzulu nafasi yake kama rais wa Yanga.

Anataka kutuaminisha kwamba GSM Foundation ndio Young Africans?

Maelezo yaliyotolewa na uongozi wa klabu hayalingani na taarifa ya awali tuliyoipokea kwenye harambee.

— Thread:⤵️
Mr Health💊💉 (@mkunga_og) 's Twitter Profile Photo

“MIMI NINA GROUP O, HAYO MAGONJWA SIUGUAGI” JE..? ukiwa na damu kundi O, Magonjwa hayawezi kukugusa? Au ni porojo tu za mtaani? Maana naona watu huwa mnatamba na Blood Groop O Kwamba hampati UKIMWI..Kirahisi? MAJIBU YAKO HAPA: Open Thread 🧵

“MIMI NINA GROUP O, HAYO MAGONJWA SIUGUAGI” 

JE..? ukiwa na damu kundi O, Magonjwa hayawezi kukugusa?

Au ni porojo tu za mtaani? 

Maana naona watu huwa mnatamba na Blood  Groop  O Kwamba hampati UKIMWI..Kirahisi?

MAJIBU YAKO HAPA: Open Thread 🧵
Jamii Forums (@jamiiforums) 's Twitter Profile Photo

Akizungumza kwa njia ya mtandao, Agosti 15, 2025, aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Kawe Askofu Josephat Gwajima amesema Watu wanaojipendekeza (Chawa), silaha yao ni kujipendekeza Soma jamii.app/GwajimaKujipen… #JamiiForums #JamiiAfrica #UchaguziMkuu2025 #Governance #JFMatukio #Siasa

(---) Onesmo Mushi (@edutalktz) 's Twitter Profile Photo

Sana mzee, uje utueleze walivyomuua Magufuli na namna wanavyocollude na wasakatonge wa upinzani kukandamiza watanzania maskini. Na wakikuua au kukudhuru, tunajua ni Rais Samia Suluhu na serikali yake. Uzuri ulishakaa jikoni kwao, unawajua vizuri. #Maslahi

Jamii Forums (@jamiiforums) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Awamu ya 5, Hayati John Pombe Magufuli aliyasema hayo Agosti 13, 2018, katika uzinduzi wa kitabu cha “I Can, I Must, I Will” cha Hayati Dkt. Reginald Abraham Mengi, uliofanyika katika Hoteli ya Serena, Dar es Salaam. Shiriki Mjadala Huu jamii.app/KumbukiziYaMag…

James Munisi (@njiwaflow) 's Twitter Profile Photo

,#UZI 💨KWANINI SIMU YAKO INA KUWA SLOW BAADA YA MIAKA 2? 📱🐢 Wengi tumezoea kununua simu mpya, ikawa spidi 🔥, lakini baada ya muda mfupi inakuwa slow sana. Hebu tuangalie sababu kuu na suluhisho zake: 🧵🧵👇

,#UZI

💨KWANINI SIMU YAKO INA KUWA SLOW BAADA YA MIAKA 2? 📱🐢

Wengi tumezoea kununua simu mpya, ikawa spidi 🔥, lakini baada ya muda mfupi inakuwa slow sana.

 Hebu tuangalie sababu kuu na suluhisho zake:

🧵🧵👇