Idris (@idrissultan) 's Twitter Profile
Idris

@idrissultan

“Sijui kitu” 🎬📺🍿🌱

ID: 311028305

linkhttps://linktr.ee/Idrissultans calendar_today04-06-2011 19:32:57

87,87K Tweet

1,5M Takipçi

637 Takip Edilen

Idris (@idrissultan) 's Twitter Profile Photo

Mabadiliko kidogo, nina kikao masaki kwahiyo kurudi itakuwa mbali, wale niliowaahidi tutaangalia mechi ya Arsenal vs Man City tukipiga zetu Guinness. Tuhamie Hoppipola masaki. Mi nitakuwa hapo saa kumi na moja na nusu 🍻📺⚽️