Idan cafulano (@idan_anthony) 's Twitter Profile
Idan cafulano

@idan_anthony

Man of Humanity

ID: 1476804904199102464

calendar_today31-12-2021 06:38:36

113 Tweet

34 Followers

246 Following

Idan cafulano (@idan_anthony) 's Twitter Profile Photo

Ni aibu serikali kushindwa kupata fedha ili kuwasomesha wanafunzi waliofaulu kusoma katika elimu za juu na wenye vigezo vya kupata mikopo hiyo.

Idan cafulano (@idan_anthony) 's Twitter Profile Photo

Serikali inatwambia imefungua fursa zakiuchumi nchini China lakini sizani kama kuna jitiada zozote ambazo imechukua kuhakikisha vijana wanaotafta ajira wananufaika na firsa hizo. Kama serikali haitaweka jitihada basi ziara hizi zitakua hazina tija na fursa zitakua ni propaganda