๐ซ๐œ๐ก๐ข๐ž๐Ÿ (@icon_rchie) 's Twitter Profile
๐ซ๐œ๐ก๐ข๐ž๐Ÿ

@icon_rchie

๐š๐ญ๐ก๐ฅ๐ž๐ญ๐ž||๐ž๐ง๐ญ๐ž๐ซ๐ญ๐š๐ข๐ง๐ž๐ซ||๐š๐ซ๐ฌ๐ž๐ง๐š๐ฅ||๐ž๐ง๐ญ๐ซ๐ž๐ฉ๐ซ๐ž๐ง๐ž๐ฎ๐ซ||๐’๐ฉ๐ž๐œ๐ข๐š๐ฅ๐ข๐ฌ๐ญ||๐‹๐ข๐›๐ซ๐š_โ™Ž

ID: 1412813331639980033

calendar_today07-07-2021 16:39:05

6,6K Tweet

2,2K Takipรงi

2,2K Takip Edilen

The mandevu (@ze_mandevu) 's Twitter Profile Photo

Dogo alipo nimaliza pale alipo sema "ukinichukua ukinipiga, ukiniua wewe utajua mweny... Mimi naishi maisha yangu" tumefika pabaya sana dogo anaona hana chakupoteza.๐Ÿ˜ฅ

Dogo alipo nimaliza pale alipo sema "ukinichukua ukinipiga, ukiniua wewe utajua mweny... Mimi naishi maisha yangu" tumefika pabaya sana dogo anaona hana chakupoteza.๐Ÿ˜ฅ
๐ซ๐œ๐ก๐ข๐ž๐Ÿ (@icon_rchie) 's Twitter Profile Photo

Timu za East Africa vinawezana thamani na timu hizi? Nazani hizi ndio timu zenye thamani Mamelod,Al Ahly, Orlando pirates na Esperance Tunis. EVIDENCE Miundombinu Ushiriki kimataifa Uuzaji wachezaji Wafuasi Uwekezaji Kwa atleast angle tatu, Yanga anawezana na timu gani hapo?

Timu za East Africa vinawezana thamani na timu hizi?

Nazani hizi ndio timu zenye thamani Mamelod,Al Ahly, Orlando pirates na Esperance Tunis.

EVIDENCE 

Miundombinu
Ushiriki kimataifa
Uuzaji wachezaji
Wafuasi
Uwekezaji

Kwa atleast angle tatu, Yanga anawezana na timu gani hapo?
๐ซ๐œ๐ก๐ข๐ž๐Ÿ (@icon_rchie) 's Twitter Profile Photo

Kama haupati kiwango cha pesa kama wao, basi acha kabisa style ya kutumia kama wao. kwa sababu mtindo wa maisha wa kifahari bila kipato kikubwa unakupeleka kwenye madeni na presha. ๐Ÿšซ๐Ÿ’ธ

Eng Jubel (@engjubel) 's Twitter Profile Photo

Ikiwa unamiliki kitu ambacho huwezi kununua mara mbili jua kabisa huna uwezo wa kukimiliki icho kitu. Iphone 17 inatoka kesho wakuu.๐Ÿ˜Š

๐ซ๐œ๐ก๐ข๐ž๐Ÿ (@icon_rchie) 's Twitter Profile Photo

Mdau anakwambia๐Ÿ˜Ž Stars ikishinda pongezi nyingi kwa waheshimiwa, lakini ikifungwa na kupata matokeo mabaya lawama zinaanza mashabiki achane uvivu yaan kutokwenda uwanjani kutoa Support kwa timu. Next: STARS Vs NIGER Tupo kuthibitisha kauli ya mdau kutoka New Aman Stadium.

Mdau anakwambia๐Ÿ˜Ž 

Stars ikishinda pongezi nyingi kwa waheshimiwa, lakini ikifungwa na kupata matokeo mabaya lawama zinaanza mashabiki achane uvivu yaan kutokwenda uwanjani kutoa Support kwa timu.

Next: STARS Vs NIGER

Tupo kuthibitisha kauli ya mdau kutoka New Aman Stadium.
๐ซ๐œ๐ก๐ข๐ž๐Ÿ (@icon_rchie) 's Twitter Profile Photo

Kadri muda unavyozidi kwenda pale mitaa ya msimbazi aah spear Jr anaenda kupoteza nafasi. Sioni impact yake hasa hiyo nafasi ambayo anaendelea kupewa kucheza OYA!

Ayubu Madenge (@ayubu_madenge) 's Twitter Profile Photo

Rwanda wana sera ya taifa ya Artificial Intelligence tangu 2023, Kenya wana Mpango wa taifa wa AI na vyuo vyao tayari vinatoa degree za AI. Nchi nyingi za Afrika zinakimbizana na mabadiliko makubwa ya Teknolojia yanayoendelea duniani na hazitaki kuachwa nyuma hata kidogo

Rwanda wana sera ya taifa ya Artificial Intelligence tangu 2023, Kenya wana Mpango wa taifa wa AI na vyuo vyao tayari vinatoa degree za AI. Nchi nyingi za Afrika zinakimbizana na mabadiliko makubwa ya Teknolojia yanayoendelea duniani na hazitaki kuachwa nyuma hata kidogo
African Hub (@africanhub_) 's Twitter Profile Photo

Young lady sleeps flat on the dust in front of her boyfriend just to thank him for sponsoring her through school . She prayed God continue to bless him and asked God for a job so she can start working Her boyfriend is a mechanic, he sponsored her in school, and she is so proud

Young lady sleeps flat on the dust in front of her boyfriend just to thank him for sponsoring her through school . She prayed God continue to bless him and asked God for a job so she can start working

Her boyfriend is a mechanic, he sponsored her in school, and she is so proud
African Hub (@africanhub_) 's Twitter Profile Photo

American singer, John Legend just revealed that Mr Eazi flew him from America to Iceland and paid him $1-million (1.4-billion) to perform at his wedding Mr Eazi's wife, Temi Otedola told him that she wanted John Legend's song, "All Of Meโ€ to be played at their wedding and Mr

American singer, John Legend just revealed that Mr Eazi flew him from America to Iceland and paid him $1-million (1.4-billion) to perform at his wedding

Mr Eazi's wife, Temi Otedola told him that she wanted John Legend's song, "All Of Meโ€ to be played at their wedding and Mr
๐ซ๐œ๐ก๐ข๐ž๐Ÿ (@icon_rchie) 's Twitter Profile Photo

Umefanya makeke umepata pisi kali unaipa ahadi ya mtoko pahali fulani soft drink, chakula safi, mziki wa taratibu ukiendelea kugongelea pini kwa mahusiano. Mwisho binti aseme amekuelewa, alfu hauoni akifanya selfie wala snap kwa eneo hilo. Bro location zako bado sana, local.

Umefanya  makeke umepata pisi kali unaipa ahadi ya mtoko pahali fulani soft drink, chakula safi, mziki wa taratibu ukiendelea kugongelea pini kwa mahusiano.

Mwisho binti aseme amekuelewa, alfu hauoni akifanya selfie wala snap kwa eneo hilo.

Bro location zako bado sana, local.
๐ซ๐œ๐ก๐ข๐ž๐Ÿ (@icon_rchie) 's Twitter Profile Photo

Kila siku pesa unatoa wewe katika hayo manunuzi yenu, msichana hatoi pesa, msimu wa ligi umeanza hata jersey hajanunua. Kila weekend anataka umpereke sehemu expensive aloo' Huyu wa kazi gani?

Kila siku pesa unatoa wewe katika hayo manunuzi yenu, msichana hatoi pesa, msimu wa ligi umeanza hata jersey hajanunua.

Kila weekend anataka umpereke sehemu expensive aloo' 

Huyu wa kazi gani?
๐ซ๐œ๐ก๐ข๐ž๐Ÿ (@icon_rchie) 's Twitter Profile Photo

Netflix inaingia rasmi kwenye mchezo wa UEFA Champions League, Kuanzia msimu wa 2027/28, Netflix inagombea haki za kusambaza mechi za UCL kila raundi hatua inayoweza kuifanya kuwa sehemu ya ulimwengu wa live sports streaming. Champions League moja kwa moja ndani ya Netflix.

Netflix inaingia rasmi kwenye mchezo wa UEFA Champions League, Kuanzia msimu wa 2027/28, Netflix inagombea haki za kusambaza mechi za UCL kila raundi hatua inayoweza kuifanya kuwa sehemu ya ulimwengu wa live sports streaming.

Champions League moja kwa moja ndani ya Netflix.
๐ซ๐œ๐ก๐ข๐ž๐Ÿ (@icon_rchie) 's Twitter Profile Photo

HAKUNA MTU MKUBWA ZAIDI YA TAASISI MFANO MDOGO; Kuna watu walikuwa famous sana mashuleni lakini wakaondoka, watakuja wengine. Current pia wapo wengine famous na wao nyakati zao countered! Hawa wote kwa nyakati zao walizani/wanazani bila wao kuna mambo hayawezi kwenda ipasavyo.

HAKUNA MTU MKUBWA ZAIDI YA TAASISI

 MFANO MDOGO; Kuna watu walikuwa famous sana mashuleni lakini wakaondoka, watakuja wengine. Current pia wapo wengine famous na wao nyakati zao countered!

Hawa wote kwa nyakati zao walizani/wanazani bila wao kuna mambo hayawezi kwenda ipasavyo.