Ibrahim (@ibrahjohn01) 's Twitter Profile
Ibrahim

@ibrahjohn01

Never stop praying, Never stop believing.

ID: 1301868713965170688

calendar_today04-09-2020 13:04:46

8,8K Tweet

1,1K Takipçi

4,4K Takip Edilen

Nyle Beck (@iammybesttoday) 's Twitter Profile Photo

Gentle reminder: Please pay attention to how your body responds to people, how your emotions shift, how your energy changes, and what thoughts come up when you’re around them. Whether it’s something with them, or within yourself, may your intuition guide you and your boundaries.

Mark J. Mwandosya (@markmwandosya) 's Twitter Profile Photo

My book, 'Living With Cancer:Diaries of a Multiple Myeloma Patient', is now available at, africanbookscollective.com/books/living-w… The book is meant to show admiration, respect and gratitude to my family,my medical team,fellow #Cancer and #MYELOMA patients, care givers and well-wishers.

My book, 'Living With Cancer:Diaries of a Multiple Myeloma Patient', is now available at,
africanbookscollective.com/books/living-w…
The book is meant to show admiration, respect and gratitude to my family,my medical team,fellow #Cancer and #MYELOMA patients, care givers and well-wishers.
SikilizaTogolani (@sikilizatogolan) 's Twitter Profile Photo

"Hakuna mpito usio na kikomo, hakuna usiku usiokuwa na pambazuko, na hakuna marefu yasiyo na ncha. Ukiona ugumu unazidi, ujue neema inakaribia." ~Togolani Mavura.

"Hakuna mpito usio na kikomo, hakuna usiku usiokuwa na pambazuko, na hakuna marefu yasiyo na ncha. Ukiona ugumu unazidi, ujue neema inakaribia." ~Togolani Mavura.
Ayubu Madenge (@ayubu_madenge) 's Twitter Profile Photo

Kipimo kizuri cha mtu ni yale anayoyatenda akiwa na Pesa, Mali, Mamlaka, Madaraka, Cheo au Umaarufu. Wachache sana watabaki na hekima, busara, Utu na Uungwana licha ya kupata hivyo vyote. Wengi hujisahau na kuonesha wazi uhalisia wao.

Dear Son. (@dears_o_n) 's Twitter Profile Photo

Stop thinking you need a relationship to be happy, man. All you need is just a purpose, a stable income, peace of mind, and a good relationship with God.

Malvin (@manoffocus_) 's Twitter Profile Photo

Unemployment can make a man feel useless in a family. I hope everything works for you now, may you get a permanent job and keep it.

Malvin (@manoffocus_) 's Twitter Profile Photo

There's something called Grace. When it locates you, it doesn't inspect your certificates or your background. It simply changes the story of your life. Dear bro, I pray Lord's Grace locates you.

ELITE MASCULINE (@masculinem7) 's Twitter Profile Photo

Testosterone is what keeps men alive. But in the last 50 years, levels have dropped by 30-50%. That’s why I found 8 foods proven by science to boost it naturally: 🧵 1. Ginger

Testosterone is what keeps men alive.

But in the last 50 years, levels have dropped by 30-50%.

That’s why I found 8 foods proven by science to boost it naturally: 🧵

1. Ginger
Jalilu Zaid (@jaliluzaid) 's Twitter Profile Photo

Ukikosa chako kwa muda unaoutaka wewe vumilia kwanza. Usichague chochote ili uonekane na wewe umepata kwa sababu itakugharimu.

hamza Lule (@hamzaalbhanj) 's Twitter Profile Photo

Kitu muhmu kwenye Maisha ni kupambania ndoto zako Mwenyewe Hakuna kuwah wala kuchelewa Hakuna swala la kuajiriwa wala Kujiajiri Muhmu secure hyo bag kwa mujbu wa ndoto zako

SIR JEFF⚡🇹🇿 (@sirjeff_d) 's Twitter Profile Photo

Sio tu narusha maneno matupu mtandaoni, nazungumza from my personal life experience Unaweza kusota na kusugua gaga hata miaka mitano; ila siku milango ikifunguka, miezi mitatu tu inatosha kuponya maumivu yote uliyopitia miaka mitano Bro, bado tuna miezi minne tuimalize 2025🤲🏽

SIR JEFF⚡🇹🇿 (@sirjeff_d) 's Twitter Profile Photo

Kipindi cha kusubiri meza zipinduke huwa kigumu na kichungu sababu hujui kama upo karibu na mafanikio au bado upo mbali Leo mambo yanaonekana yameshaiva, kesho yanaonekana km bado miaka 5 Bro! Unaweza kukata tamaa, lkn kamwe usirudi nyuma, songa mbele, subira ni mtihan wa imani

John kalage 🇹🇿 (@kalage_jr) 's Twitter Profile Photo

Maisha ni kama safari ndefu tembea kwa mwendo wako usiige mwendo wa mtu mwingine na ukichoka njiani pumzika upate nguvu ya kuendelea, usiwakatishe tamaa wengine watakie safari njema.