Ibrahim Mtilinzi (@ibrahimmtilinzi) 's Twitter Profile
Ibrahim Mtilinzi

@ibrahimmtilinzi

M/kiti Uvccm kata Hananasif 2022-2027/ Shabiki wa Simba Sc Na Manchester United 🇹🇿🙏

ID: 1704479481056931840

calendar_today20-09-2023 12:56:21

158 Tweet

157 Takipçi

364 Takip Edilen

Ibrahim Mtilinzi (@ibrahimmtilinzi) 's Twitter Profile Photo

Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Akizindua Jengo la Makao Makuu ya Benk ya Ushirika Tanzania yaliyopo Jijini Dodoma Tarehe 28Aprili. 2025

Kipindi chako Mhe Rais Samia Suluhu ni kipindi cha Baraka nyingi sana Rais Wetu Mungu Aendelee kukupa kibali cha kwendelea kuliongoza Taifa Letu 5 Tena kwako Mama Yetu 🙏

Ibrahim Mtilinzi (@ibrahimmtilinzi) 's Twitter Profile Photo

Walikujaza Ukajaa Upepo na Kuongea hovyo Leo Upo jela wenzako wanaendelea kula Gambe Cheza na vyote Usichezee Amani Yetu Watanzania

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikabidhi vikombe kwa Manahodha wa Timu zilizofanya vizuri katika sherehe za Siku ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi ambapo Kitaifa zimefanyika katika uwanja wa Bombadia Mkoani Singida tarehe 01 Mei, 2025.

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe,Dkt. Samia Suluhu Hassan akitoa Hotuba ya Kufunga Mkutano Mkuu Maalumu wa CCM Taifa uliofanyika Ukumbi wa Jakaya Kikwete (JKCC) Mkoani Dodoma leo Mei 30,2025.

Mhe Diwani Wilfred Nyamwija katika Muendelezo wa Ahadi zake za Ugawaji wa Tv kwenye Vijiwe na Maskani za Wananch wa kata ya Hananasif, Leo hii Ameweza Kugawa Tv ya Nch 43 Kwenye Kijiwe cha Unyamani, hii ni kwaajili ya kuwapa wananchi fursa ya kufatilia habari mbalimbali

Mhe Diwani
Wilfred Nyamwija katika Muendelezo wa Ahadi zake za Ugawaji wa Tv kwenye Vijiwe na Maskani za Wananch wa kata ya Hananasif, Leo hii Ameweza Kugawa Tv ya Nch 43 Kwenye Kijiwe cha Unyamani, hii ni kwaajili ya kuwapa wananchi fursa ya kufatilia habari mbalimbali
Ibrahim Mtilinzi (@ibrahimmtilinzi) 's Twitter Profile Photo

Hananasif 📍 Kamati ya Siasa Kata ya Hananasif Ikiongozwa na Mwenyekiti wa Ccm kata ya Hananasif Ndug.ABDALLAH SALIM siku ya Leo Imeweza kukagua Utekelezaji wa Ilani ya Ccm Uliyo fanywa Chini ya Mhe Wilfred Nyamwija Ilani iliyo tekelezwa kuanzia Mwaka 2020-2025

Hananasif 📍
Kamati ya Siasa Kata ya Hananasif Ikiongozwa na Mwenyekiti wa Ccm kata ya Hananasif Ndug.ABDALLAH SALIM siku ya Leo Imeweza kukagua Utekelezaji wa Ilani ya Ccm Uliyo fanywa Chini ya Mhe Wilfred Nyamwija Ilani iliyo tekelezwa kuanzia Mwaka 2020-2025
Ibrahim Mtilinzi (@ibrahimmtilinzi) 's Twitter Profile Photo

🖇️ Diwani wa Kata ya Hananasif *Mhe.Wilfred Nyamwija* kuwasilisha Taarifa ya Utekelezaji wa Ilani ya CCM ya mwaka 2020-2025 katika Mkutano Mkuu Maalum wa CCM Kata ya Hananasif tarehe 14 June,2025 Saa 3:00 Asubuhi katika Ukumbi wa PJ Hall Palace - Dar es Salaam .