IbRaH (@ibrah_sheby) 's Twitter Profile
IbRaH

@ibrah_sheby

TrUck DriVeR🚛

ID: 1589176884067188736

calendar_today06-11-2022 08:44:46

56,56K Tweet

3,3K Followers

2,2K Following

Nei🥂 (@neemawillyy) 's Twitter Profile Photo

God is Good Ubuyu Ubuyu Ubuyu Ubuyu mtamu wa Kishua wenye ladha nzuri upo Ukila unakuacha na tabasamu muda wote Hauchubui Mdomo Ukimung'unya Ladha ni Vanilla, Chocolate na Pilipili Bei ni 4000 tu Delivery Kwa Dar na Mikoani tunatuma Nipigie 0752228138

God is Good 

 Ubuyu Ubuyu Ubuyu

Ubuyu mtamu wa Kishua wenye ladha nzuri upo

Ukila unakuacha na tabasamu muda wote

Hauchubui Mdomo Ukimung'unya 

Ladha ni Vanilla, Chocolate na Pilipili

Bei ni 4000 tu 

Delivery Kwa Dar na Mikoani tunatuma 

Nipigie 0752228138
IbRaH (@ibrah_sheby) 's Twitter Profile Photo

Sina uhakika sana na hili ila kwenye swala la kupeana support wachaga wanasaidiana sana,kuna mwanangu tulipiga kazi wote LAKE OIL now anamiliki truck yake anasema wadogo zake wawili wako gavoo wametia uzito mkubwa sana mpaka kafanikiwa kuanza life la kutokuajiriwa.

MS.VERSATILE🎹(WINGA WA CHINA🫰) (@am_nice04) 's Twitter Profile Photo

Us we provide cheap bundles.. Kama kwenye menu ya kawaida ya Tigo na Voda Unapata gb 4 kwa 10000 Sisi tunakupa gb 5 kwa 9500 😊🫴 New posters . 0745221288 Karibuniiiiii

Us we provide cheap bundles..

Kama kwenye menu ya kawaida ya Tigo na Voda 
Unapata gb 4 kwa 10000

Sisi tunakupa gb 5 kwa 9500 
😊🫴
New posters .
0745221288
Karibuniiiiii
Eng.S.Chambo (@eng_chambo) 's Twitter Profile Photo

Yaani jamaa wanatujua sana udhaifu wetu ..hawatumii nguvu kabisa😂soon connection zitaanza kuvuja upepo utahamia huko kwasasa Ngoja tuendelee na story za bonge la Dada😂😂ukitazamaa kwa jicho la hesabu unaona kabisa issue ipo kihesabu zaidi 😂😂.

Mtoto wa Mama👶 (@centuryboe) 's Twitter Profile Photo

Konda anauliza abiria zake “ kona ! kona ! , nani anashuka kona abiria ? “ watu kimya , akauliza tena “ jamani kona io nani anashuka ? “ jamaa akamjibu “ Labda ushuke wewe “ konda kamtukana kmk 😂

CACTi (@111cacti) 's Twitter Profile Photo

Kuna mzee muuza spair alifilisika. Wachaga wenzie waliopo jirani naye wakamsaidia mtaji saivi anaendelea na biashara. Hawa watu wanasaidiana mno haswaa wakiona una muelekeo mzuri katika biashara zako.