IBN HABIIB (@ibn_feroouz) 's Twitter Profile
IBN HABIIB

@ibn_feroouz

sito choka kusubiri kile alicho nipangia allah..✍

ID: 1437303719507419143

calendar_today13-09-2021 06:34:56

3,3K Tweet

1,1K Followers

1,1K Following

msngi. (@abusumayyah_o) 's Twitter Profile Photo

RIZKI ALLAH HUZIGAWA SANA ASUBUHI NA MAPEMA ALFAJIRI📚💦 >>UMMA HUU WA MTUME MUHAMMAD UMEOMBEWA DUA YA RIZK KUPATINANA MAPEMA ASUBUHI 🫴JITAHIDI ALFAJIRI UWE UMESHAAMKA NA UMEFANYA IBADA ZAKO NA BAADA YA SALA YA ALFAJIRI USIENDE KULALA ➡️_HAKIKA UTAPISHANA NA GARI YA MSHAHARA

RIZKI ALLAH HUZIGAWA SANA ASUBUHI NA MAPEMA ALFAJIRI📚💦

>>UMMA HUU WA MTUME MUHAMMAD UMEOMBEWA DUA YA RIZK KUPATINANA MAPEMA ASUBUHI 

🫴JITAHIDI ALFAJIRI UWE UMESHAAMKA NA UMEFANYA IBADA ZAKO NA BAADA YA SALA YA ALFAJIRI USIENDE KULALA

➡️_HAKIKA UTAPISHANA NA GARI YA MSHAHARA
al-maghribī (@abulhusayn01) 's Twitter Profile Photo

[Akipatikana Mwanaume Mwenye Dini Na Tabia Bas Bint Aolewe] Anasema Sheikh Muhammad bin Swālh Al-Uthaymin [Allah Amrehem]: "Nasaha Zangu Wa Mawaliii Katika Mababa Na Makaka, Ni Wamche Allah Aliyetukuka, Wasiwe Ni Wenye Kuwa Kuwazuia Wanawake Katika Haqi Yao Ya Kuwaozesha Kwa

al-maghribī (@abulhusayn01) 's Twitter Profile Photo

Leo Ni Tarehe 02 Rajabu Mwaka 1447Hijria... Mwezi Katika Miezi Mitukufu Ile Minne 4 Kam Alivyotaja Allah Na Kufasiriwa Na Mtume [Swala Na Salaam Ziwe Juu Yake], In Shaa Allah Katika Ukurasa Tutakuwa Tukitaja Yale Yenye Kufungamana Na Mwezi Huu... Endelea Kuwa Nasi

al-maghribī (@abulhusayn01) 's Twitter Profile Photo

Binafsi Katika Yale Ambayo Tunapeana Nasaha Kuelekea Ramadhani Na Baada Yake, 1. Wale Ambao Bado Swala La Usomaji Qur'an Tuko Nyuma Bas Tujitahidi Tuanze Kusoma Na Tuweke Maadhimio Ya Kuyajua Maneno Ya Allah 2. Wale Ambao Wana Angalau Bas Waweke Juhudi Ya Kufanya Masahihisho