Tamimu Adamu (@iamtamimu) 's Twitter Profile
Tamimu Adamu

@iamtamimu

Media Personality @CloudsMediaLive | Voice Over Artist | Content Creator | News Anchor | Clouds 360 Producer. 🇹🇿

ID: 1442450207862505476

calendar_today27-09-2021 11:25:35

1,1K Tweet

1,1K Takipçi

155 Takip Edilen

Denzo (@denzomaestro) 's Twitter Profile Photo

🏟KHALIFA INTERNATIONAL STADIUM. Uwezo -40000. Ni uwanja wa kipekee uliochezwa Mechi nyingi za Mpira wa Miguu na Hafra za Riadha tangu Kufunguliwa kwake Mnamo 1976. Ni Uwanja wenye vivutio vingi na Ulifanyiwa Baadhi Ya marekebisho ili Kuweza kutumika katika michuano Hii.

🏟KHALIFA INTERNATIONAL STADIUM.
Uwezo -40000.
Ni uwanja wa kipekee uliochezwa Mechi nyingi za Mpira wa Miguu na Hafra za Riadha tangu Kufunguliwa kwake Mnamo 1976.
Ni Uwanja wenye vivutio vingi na Ulifanyiwa Baadhi Ya marekebisho ili Kuweza kutumika katika michuano Hii.
Denzo (@denzomaestro) 's Twitter Profile Photo

🏟 Al JANAUB STADIUM. Uwezo -40, 000. Unapatikana katika Jiji la Al Wakrah , Ni Jiji lenye historia nyingi kwa uvuvi , Ubunifu wa uwanja Huu umechochewa na nakshi zilizojaa upepo za Boti za Kitamaduni za Qatar zikionesha asili na heshima kwa wavuvi wa al Wakrah kama Alama .

🏟 Al JANAUB STADIUM.
Uwezo -40, 000.
Unapatikana katika Jiji la Al Wakrah , Ni Jiji lenye historia nyingi kwa uvuvi , Ubunifu wa uwanja Huu umechochewa na nakshi zilizojaa upepo za Boti za Kitamaduni za Qatar zikionesha asili na heshima kwa wavuvi wa al Wakrah kama Alama .
Denzo (@denzomaestro) 's Twitter Profile Photo

🏟LUSAIL STADIUM Uwezo -80, 000. Dimba Hili Linapatikana Katika Jiji la Lusail, Hapa Ndipo Itapigwa Fainali Ya michuano hii kwa Mwaka Huu.Uwanja sa Kipekee kutokana na Ubora wake na mvuto wa aina Yake. Zitapigwa Mechi 10 Ikiwepo na Ya Fainali katika Dimba Hili.

🏟LUSAIL STADIUM
Uwezo -80, 000.
Dimba Hili Linapatikana Katika Jiji la Lusail, Hapa Ndipo Itapigwa Fainali Ya michuano hii kwa Mwaka Huu.Uwanja sa Kipekee kutokana na Ubora wake na  mvuto wa aina Yake.
Zitapigwa Mechi 10 Ikiwepo na Ya Fainali katika Dimba Hili.
Denzo (@denzomaestro) 's Twitter Profile Photo

🏟 AL BAYT STADIUM Uwezo -60, 000. Dimba hili zitapigwa mechi 8 na Mojawapo ni mechi Ya Ufunguzi Mashindano haYa.unapatikana Katika Mji wa Al Khor.

🏟 AL BAYT STADIUM
Uwezo -60, 000.
Dimba hili zitapigwa mechi 8 na Mojawapo ni mechi Ya Ufunguzi Mashindano haYa.unapatikana Katika Mji wa Al Khor.
SikilizaTogolani (@sikilizatogolan) 's Twitter Profile Photo

"Wakutanapo watu watatu wanaokujua bila wewe kuwepo, uwezekano ni mkubwa kuwa mmoja ni mwendesha mashtaka, mmoja ni shahidi wa upande wa mashtaka na mmoja ni hakimu. Mtetezi na wakili wako ni tabia yako, matendo na kumbukumbu nzuri ulizowaachia katika maisha yako."

"Wakutanapo watu watatu wanaokujua bila wewe kuwepo, uwezekano ni mkubwa kuwa mmoja ni mwendesha mashtaka, mmoja ni shahidi wa upande wa mashtaka na mmoja ni hakimu. Mtetezi na wakili wako ni tabia yako, matendo na kumbukumbu nzuri ulizowaachia katika maisha yako."
Denzo (@denzomaestro) 's Twitter Profile Photo

Ni Nadra Kuona Wachezaji Waandamizi Au Wenye Umri Mkubwa Kuitwa Kucheza Mechi za Mashindano Mbali mbali kwa sababu Huwa Wana wa "consider" kama Viwango Vimeshuka na Miili Yao sio Timamu Tena Apart Kwa Makubwa Waliowahi Fanya Katika Timu Husika.

Waswahili Wanasema Ng'ombe Hazeeki Maini na Kisu cha Bucha Hakiishi Makali, Hawa ni Baadhi Ya Wachezaji Wakongwe walio wahi kucheza Mechi za Kombe la Dunia Miaka Tofauti Tofauti.

1.Essam El-Hadary . Ni golikipa na Captain mkongwe wa Taifa la Misri , Hakuna Mpenda soka asiwe lifahamu Jina Hili, Ni Miongoni mwa Magolikipa Bora kuwahi Kutokea Barani Afrika, Alicheza Mechi kati Ya Misri na Saudi Arabia Akiwa na Miaka 45 na siku 161 (Russia World Cup 2018)

1.Essam El-Hadary .
Ni golikipa na Captain mkongwe wa Taifa la Misri , Hakuna Mpenda soka asiwe lifahamu Jina Hili, Ni Miongoni mwa Magolikipa Bora kuwahi Kutokea Barani Afrika, Alicheza Mechi kati Ya Misri na Saudi Arabia Akiwa na Miaka 45 na siku 161
(Russia  World Cup 2018)
Denzo (@denzomaestro) 's Twitter Profile Photo

2.Faryd Mondragon kocha José Pékerman aliamua kumpa nafasi ya Dakika kadhaa golikipa huyu mkongwe , Akiwa na Miaka 43 na siku 1, Alikuwa sehemu ya Timu ya Colombia ilioshinda na Kwenda Hatua ya mtoano mashindano ya kombe la dunia 2014 dhidi Ya Japan, akiingia kutokea Benchi.

2.Faryd Mondragon
 kocha José Pékerman aliamua kumpa nafasi ya Dakika kadhaa golikipa huyu mkongwe , Akiwa na Miaka 43 na siku 1, Alikuwa sehemu ya Timu ya Colombia ilioshinda na Kwenda Hatua ya mtoano mashindano ya kombe la dunia 2014 dhidi Ya Japan, akiingia kutokea Benchi.
Denzo (@denzomaestro) 's Twitter Profile Photo

3.Rogger Milla (old Lion) Mshambuliaji huyu wa Cameron aliweka Rekodi mbili kwa wakati Mmoja akiwa ndio mchezaji mwenye umri mkubwa kuwahi kufunga na kucheza katika mashindano Ya kombe la Dunia 1994. Ilikuwa Mechi dhidi Ya Russia ilioisha kwa kipigo cha Magoli 6-1.

3.Rogger Milla (old Lion)
Mshambuliaji huyu wa Cameron aliweka Rekodi mbili kwa wakati Mmoja akiwa ndio mchezaji mwenye umri mkubwa  kuwahi kufunga na kucheza katika mashindano Ya kombe la Dunia 1994.
Ilikuwa Mechi dhidi Ya Russia ilioisha kwa kipigo cha Magoli 6-1.
Denzo (@denzomaestro) 's Twitter Profile Photo

Roger Milla Alikuwa na ushangiliaji wa Kipekee Pindi akifunga Magoli Yake na kufanya Yawe Ya Kusisimua zaidi,Kwa Kukata Mauno kwenye Kibendera cha Kona, Alikuwa na Miaka 42 na siku 39 aliposhiriki mashindano hayo, Ni mchezaji Wa ndani Pekee katika Hii Listi, What a Man He was 🔥

4.Pat Jennings Golikipa Huyu wa Timu Ya taifa ya Northern Ireland alikuwa na Bahati ya Kipekee kwa kucheza Mechi Yake katika Siku Yake ya Kuzaliwa kwenye Fainali ya kombe la Dunia 1986 dhidi ya Brazil (What a way to celebrate a birthday ) alitimiza miaka 41 siku Hio.

4.Pat Jennings 
Golikipa Huyu wa Timu Ya taifa ya Northern Ireland alikuwa na Bahati ya Kipekee kwa kucheza Mechi Yake katika Siku Yake ya Kuzaliwa kwenye Fainali ya kombe la Dunia 1986 dhidi ya Brazil (What a way to celebrate a birthday ) alitimiza miaka 41 siku Hio.
Denzo (@denzomaestro) 's Twitter Profile Photo

Kinachofikirisha zaidi mwaka 1984-85 alikuwa ametangaza kustaafu Mpira wa mashindano kama mchezaji, Though aliendelea kujifua na kujiweka Fit na mashindano. mwaka Unaofuta aliitwa Timu Ya Taifa kutokana na ubora wake.

5.Peter Shilton (40 na siku 292) Golikipa Huyu alicheza Mechi Yake Ya kwanza Ya kombe la Dunia akiwa na miaka 32. It was a dream come true , Later on alikuja Kuweka Rekodi Ya kuwa moja Ya mchezaji Mwenye umri mkubwa kucheza Mechi Ya mashindano Ya Kombe La Dunia,

5.Peter Shilton (40 na siku 292)
Golikipa Huyu alicheza Mechi Yake Ya kwanza Ya kombe la Dunia akiwa na miaka 32. It was a dream come true , Later on alikuja Kuweka Rekodi Ya kuwa moja Ya mchezaji Mwenye umri mkubwa kucheza Mechi Ya mashindano Ya Kombe La Dunia,
Tamimu Adamu (@iamtamimu) 's Twitter Profile Photo

Sema hii ni kama neno lililotoholewa kwenye Lugha ya Kiarabu,Wabaaduh. Nahisi hvyo hasa nikiwasiliza masheikh kwenye Hotuba za Jumaah.Naomba unisahihishe kama ni sawa

. (@dr_bashiru) 's Twitter Profile Photo

'Kujiuzulu kiongozi si lazima awe amekosea. Anaweza kujiuzulu kwa sababu ya kuepuka aibu kwa jambo lilotokea chini yake'. - Joseph Butiku.

Tamimu Adamu (@iamtamimu) 's Twitter Profile Photo

Mpendwa Mungu, leo ni siku yangu ya kuzaliwa kwa hivyo asante kwa kunibariki maisha ya amani! Ninashukuru sana kuwa na chaguo la kupumua kila siku.Happy birthday to Me.🙏