DUBRO (@iamdubro) 's Twitter Profile
DUBRO

@iamdubro

Sᴍɪʟᴇ x Eɴᴊᴏʏ

ID: 1379519146392686597

calendar_today06-04-2021 19:39:45

3,3K Tweet

123 Followers

1,1K Following

SikilizaTogolani (@sikilizatogolan) 's Twitter Profile Photo

"Ni heri utingwe na majukumu kuliko usiwe nayo. Majukumu hutuepusha na shari na mitihani mingi ya maisha na hutufungulia riziki. Usipotingwa nayo, utakuwa na muda mwingi wa kuhangaika na maisha ya wengine. Itakugharimu. Shukuru Mungu unayo." ~Togolani Mavura.

"Katika jambo la muhimu sana katika maisha ya kazi si tu kuijua kazi bali kutumainika (reliability). Watu wengi wanapenda kufanya kazi na watu ambao wakiwakabidhi kazi wanaweza kulala usingizi kwa amani." ~Togolani Mavura.

"Viongozi nao ni binadamu; wana mioyo na hisia. Kama walivyo binadamu wengine, nao huvutiwa zaidi kuwasikiliza watu wanaowaletea habari njema, matumaini na majawabu sio wale wanaowazonga kwa lawama na kuwajeruhi nafsi zao." ~Togolani Mavura.

NBA (@nba) 's Twitter Profile Photo

Most seasons. Most minutes. Most points. And now, most games 👑 LeBron James has added another ALL-TIME RECORD to his unparalleled resume!

Most seasons.
Most minutes.
Most points.

And now, most games 👑

LeBron James has added another ALL-TIME RECORD to his unparalleled resume!
SikilizaTogolani (@sikilizatogolan) 's Twitter Profile Photo

"Kwenye maisha kamwe usikatili hisia za watu wala kukwaza matumaini yao. Hata ukifanya mazuri kiasi gani, ukishindwa hayo mawili, mazuri yote yanafutika. Ni rahisi kukonga mioyo ya watu, kuliko kumudu kutawala akili zao." ~Togolani Mavura.

"Watu waliojiuzulu maisha ni wale wanaoamini wakati wote kuwa kuna mtu mwingine ndio mwenye kuwajibika kwa matatizo yao na si wao wenyewe. Matarajio yao kwa wengine ni makubwa, yasiyotimizika na yanaishia na lawama. Waepuke hao." ~Togolani Mavura.

NBA on ESPN (@espnnba) 's Twitter Profile Photo

Breaking: Stephen Curry has set a goal to return for the Warriors on Sunday against the Houston Rockets, per Shams Charania. Get breaking news alerts from Shams Charania through the ESPN App: espn.smart.link/paubshxwt

Breaking: Stephen Curry has set a goal to return for the Warriors on Sunday against the Houston Rockets, per <a href="/ShamsCharania/">Shams Charania</a>.

Get breaking news alerts from Shams Charania through the ESPN App: espn.smart.link/paubshxwt