Ms Bee🌹(@iamcleopatricia) 's Twitter Profileg
Ms Bee🌹

@iamcleopatricia

CEO @slayyingoutfit @MsB_honey01| BUSINESS WOMAN| HONEY DEALER 🍯|0752-872612

ID:1144647639755120641

calendar_today28-06-2019 16:43:58

162,3K Tweets

156,7K Followers

12,1K Following

C H A M P(@mpambazi) 's Twitter Profile Photo

Anajivunia Sabuni ya Champ kwakua inamuondolea miwasho yote na hivyo kumfanya achape kazi bila mahangaiko yoyote.

Anajivunia Sabuni ya Champ kwakua inamuondolea miwasho yote na hivyo kumfanya achape kazi bila mahangaiko yoyote. #beyou
account_circle
Blessed Tillah (MBARIKIWA)(@TillahBlessed) 's Twitter Profile Photo

Kila siku maisha yanatupa nafasi ya kukua na kujijenga zaidi ili tukue na kuwa bora zaidi.
Kwa moyo wa shukrani na unyenyekevu nipende kuchukua nafasi hii kuishukuru familia kubwa Times Fm kwa kipindi chote tulichokuwa pamoja.

Kila siku maisha yanatupa nafasi ya kukua na kujijenga zaidi ili tukue na kuwa bora zaidi. Kwa moyo wa shukrani na unyenyekevu nipende kuchukua nafasi hii kuishukuru familia kubwa Times Fm kwa kipindi chote tulichokuwa pamoja.
account_circle
Martin Maranja Masese(@IAMartin_) 's Twitter Profile Photo

MJAMZITO AFARIKI HOSPITALI YA WILAYA MBARALI.

Felister Tenyange (39), hivi sasa ni marehemu, ambaye alikuwa mtanzania, mkazi wa kata ya Mawindi wilaya ya Mbarali, mkoa wa Mbeya.

Siku ya Ijumaa kuamkia Jumamosi, 17.05.2024 usiku alifika katika hospitali ya wilaya Mbarali

MJAMZITO AFARIKI HOSPITALI YA WILAYA MBARALI. Felister Tenyange (39), hivi sasa ni marehemu, ambaye alikuwa mtanzania, mkazi wa kata ya Mawindi wilaya ya Mbarali, mkoa wa Mbeya. Siku ya Ijumaa kuamkia Jumamosi, 17.05.2024 usiku alifika katika hospitali ya wilaya Mbarali
account_circle
Sally Brown🌷(@officielsalome) 's Twitter Profile Photo

Nacheka ila naogopa 🤣hizi simu jamani muwe makini sana anko wangu leo kajichanganya akaweka video ya X status bila kujua alafu nampgia afute hapokei simu😂.

account_circle
ELFU JEROOO…!!!®️(@jobles_bukujero) 's Twitter Profile Photo

Kipindi naishi Tanzania nlidate na mademu kama nane hivi wa chuo cha Mwl Nyerere, watano kati ya hao walikuja gheto wamevaa chupi ya kitenge/Khanga, ule ubunifu wao sijawahi kuuona popote mpaka leo 😂😂😂

account_circle
Fumbo Khan(@fumbokhanJr) 's Twitter Profile Photo

Kikosi Bora Cha Msimu huu 2023/2024

GK: Diara

RB: YaoYao.
CB: Inonga.
CB: Ibrahim Bacca.
LB: ZimbweJr.

CM: feisal.
CM: Aucho.
AM: Azizi Ki.

RW: Kipre Jr.
ST: Freddy
LW: Pacome.

Vipi Kuhusu Wewe Kikosi chako??

account_circle
GoldenNsalflix(@Nsalflix) 's Twitter Profile Photo

NIKUJUZE 🎋

Huyo jamaa hapo anaitwa Spotter, kazi yake kubwa ni kwa ajili ya kusaidia kuona wale wanyama ambao wamekuwa hawaonekani kiurahisi pindi anapokuwa na watalii na kazi ingine ni kuwapa confidence watalii waliopo ndani ya gari kuondoa uoga kwa kumwangalia yeye

Neno moja

NIKUJUZE 🎋 Huyo jamaa hapo anaitwa Spotter, kazi yake kubwa ni kwa ajili ya kusaidia kuona wale wanyama ambao wamekuwa hawaonekani kiurahisi pindi anapokuwa na watalii na kazi ingine ni kuwapa confidence watalii waliopo ndani ya gari kuondoa uoga kwa kumwangalia yeye Neno moja
account_circle