Ale✪ (@iamallennm) 's Twitter Profile
Ale✪

@iamallennm

JESUS FIRST
@FCbarcelona @Arsenal @simbasctanzania Efootball addict 🎮 MESSI FAN

ID: 1469722600171470852

calendar_today11-12-2021 17:37:02

83,83K Tweet

6,6K Takipçi

1,1K Takip Edilen

Black Dady (@blacdaady) 's Twitter Profile Photo

Nina heshima kubwa sana kwa KDB ila kuna siku na sisi kama mashabiki wa soka duniani tutamuomba aweke international trophy mezani ili mizani ikae sawa. Okay the best midfielder in the world amevuta international trophy yake na anatamba nalo.

Nina heshima kubwa sana kwa KDB ila kuna siku na sisi kama mashabiki wa soka duniani tutamuomba aweke international trophy mezani ili mizani ikae sawa.

Okay the best midfielder in the world amevuta international trophy yake na anatamba nalo.
BARÇAGUY (@blackculer) 's Twitter Profile Photo

Mashabiki ya Pendu yanaruka sana vichaka, wamemtukana Yamal tumekubali, wameanza kwenda kwa Messi, walipelekewa moto wanaanza kulalamika 😂😂😂

MJUKUU (@wideedson) 's Twitter Profile Photo

Hutuitaji tena mijadala msimu huu mshindi wa Ballon d'Or ni Nuno Mendez tofauti na apo ni wizi mkubwa utakua umetendeka. 🙌🏾

Hutuitaji tena mijadala msimu huu mshindi wa  Ballon d'Or ni Nuno Mendez  tofauti na apo ni wizi mkubwa utakua umetendeka. 🙌🏾
SUKAYO𝕏🇹🇿 (@sukayotz) 's Twitter Profile Photo

Maisha ya online kweli sio reality watu wanaandika no reform no election mtandaoni Ikifika wakati wa uchaguzi wataenda kupiga kura.

BarçaTimes (@barcatimes) 's Twitter Profile Photo

🚨| 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Lamine Yamal becomes the most VALUABLE player in the world, with his value rising up to €200M after the recent update. [Transfermarkt] #fcblive 🔥

🚨| 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Lamine Yamal becomes the most VALUABLE player in the world, with his value rising up to €200M after the recent update. [<a href="/Transfermarkt/">Transfermarkt</a>] #fcblive 🔥
𝐉𝐎𝐆𝐎𝐎-𝟏𝟕 🐔 (@jogoo_mtemi) 's Twitter Profile Photo

Ukiwauliza... Tupeni sababu za kumchukia Janja wa Cartalunya, Hawana zaidi ya wao kumfananisha na Kila aina ya mchezaji... 🚮 Ni kama MaMbumbu vile... Mizee mizima inabishana kuhusu Janja wa miaka 17! 😂

Ukiwauliza... Tupeni sababu za kumchukia Janja wa Cartalunya, Hawana zaidi ya wao kumfananisha na Kila aina ya mchezaji...  🚮

Ni kama MaMbumbu vile... Mizee mizima inabishana kuhusu Janja wa miaka 17! 😂
Alex debrizy (@alexkomba19) 's Twitter Profile Photo

Dogo hana baya kabisaa ukiangalia umri wake na anayoyafanya sioni kama kuna sababu ya kumchukia mdomoo kazi yake kuongea😂