HUSTLER (@hustler7cr) 's Twitter Profile
HUSTLER

@hustler7cr

A real hustler, we live only once so make sure you live to the fullest .
In love with ⚽️

@SimbaSCTanzania
@ManUtd
@realmadrid

ID: 1594947167294218240

calendar_today22-11-2022 06:53:44

2,2K Tweet

1,1K Followers

3,3K Following

HUSTLER (@hustler7cr) 's Twitter Profile Photo

Hamna mtu yeyote mwenye akili timamu na anaipenda hela yake halafu umkute amebetia timu hizi direct win. Atletico madrid, Juventus, Roma, lazio na Rangers🫵

HUSTLER (@hustler7cr) 's Twitter Profile Photo

Tusomesheni watoto jamani, kuna bro mmoja hivi millennium jana kanipa 5k nimfungulie account ya sportybet😂, anyway na hiki ki mvua cha Dar nitafute sehemu nipate supu ya utumbo.

HUSTLER (@hustler7cr) 's Twitter Profile Photo

Baada ya ibada sasa nipitie pitie tweets za wazee wa geopolitics nipate chochote kitu cha kwenda kuwafunga kamba wanangu kijiweni😂😂

HUSTLER (@hustler7cr) 's Twitter Profile Photo

Hivi siku hizi mbona ukienda kwenye maduka mengi chenji ikibaki 100, 200 au 300 wanakuambia hawana? Na wanakuambia zimekuwa adimu sana. Watu wa X uchumi! Hii ina maana gani?

HUSTLER (@hustler7cr) 's Twitter Profile Photo

Nimegundua the way tunavochukulia football bongo hapa na huko duniani ni tofauti sana, nimeona reaction ya familia ya yule janja Igor Thiago especially bimkubwa wake baada ya national team call,yani support inaanzia from family level, hapa bongo ujipambanie mwenyewe tu.😂

HUSTLER (@hustler7cr) 's Twitter Profile Photo

Kibongo bongo mlikuwa mnasema TFF wanaogopa Simba na Yanga kwenye kufanya maamuzi, Morocco nao walitishia hawatashiriki Afcon ijayo CAF nao wameingia upepo😂 Africa💔

HUSTLER (@hustler7cr) 's Twitter Profile Photo

Kwenye betting kama ushafika stage ile ukila 100k hauwi excited yani unaona ni hela ya kawaida, basi ujue wewe kitu kitakachokutenganisha na betting ni kifo tu😂😂

HUSTLER (@hustler7cr) 's Twitter Profile Photo

Wazee wa betting leo usipokuwa makini utapoteza hela nyingi mno, kuna match nyingi kinomaa😂, na the way games zinavokuwa nyingi possibility ya kupigwa nayo inakuwa kubwa

HUSTLER (@hustler7cr) 's Twitter Profile Photo

Hivi umewahi kuibetia timu ishinde then unaingia livescore kucheki matokeo unakuta wameweka kaujumbe "shocks the expected winner is struggling "😂 hii mitoto ya Ireland mipumbafu sana

Kila familia ina mtoto mmoja ambaye wazazi wake ni kama wanamwogopa hivi, na mara nyingi huyo mtoto anakuwa yupo stable financially. Sio kwamba hawasaidii wazazi anawasaidia ila kuna namna wana muogopa. Hivi ni kwanini?😂😂

HUSTLER (@hustler7cr) 's Twitter Profile Photo

Kwahiyo tunakubaliana kwamba Company ni kocha wa ball au timu ndo inambeba? Kwa upande wangu mimi naona Company ni kocha wa kawaida mnoo aliye jikuta kwenye timu iliyojipata, yani Company ni mid couch the likes of Xavi, OGS etc.

HUSTLER (@hustler7cr) 's Twitter Profile Photo

Nimejaribu kufuatilia hii issue ya hii crew ya Artemis 2 hawa jamaa kuna namna wametupiga gap kubwa mno na sijui kama kuna siku waafrica tutakuja kufikia huku🙌

HUSTLER (@hustler7cr) 's Twitter Profile Photo

Kunae mzee kitaa hapa kaniambia yeye Dar es salaam kaja mwaka 1968 na anasema population ya Dar by that time ilikuwa so scattered, maeneo mengi yalikuwa bado mapori. Kama 1960s hali ilikuwa hivo inaingia akilini kuwa kuna watu waliishi hapa miaka 500 iliyopita?🤔