Husayn Arif (@husaynarif) 's Twitter Profile
Husayn Arif

@husaynarif

Tanzania 🇹🇿
Islamic Scholar

ID: 1060210360249171968

linkhttps://www.youtube.com/channel/UC0zSSFFAD7Tni5nzAgmRxqw calendar_today07-11-2018 16:40:22

133 Tweet

175 Followers

5 Following

Husayn Arif (@husaynarif) 's Twitter Profile Photo

Mpingaji ataendelea tu kukupinga hata kama ukamthibitishia kwa kutembea juu ya bahari, bado tu atasema huyu bwana hajui kuogelea ndiomaana anatembea.

Husayn Arif (@husaynarif) 's Twitter Profile Photo

Usiwe na matumaini ya kumpata mtu katika mahusiano ya aina yoyote ile atakaye fanana na tabia zako! Kama vile ilivyokuwa ngumu kuushika mkono wake wa kulia kwa mkono wako wa kulia na mkatembea. #Allah #Islam #husaynarif #Tanzania

Husayn Arif (@husaynarif) 's Twitter Profile Photo

Dunia ya sasa imejazwa na wanavyuoni, lakini ubinaadam umekosekana, hapo nyuma ilikuwa watu wawili wakigombana basi watatu wao husuluhisha, lakini kwa leo watatu wao atatengeneza video kuhusu ugomvi wa wawili wale.

Husayn Arif (@husaynarif) 's Twitter Profile Photo

Wanaume wengi hulalamika kutokana na mdomo mchafu wa wake zao, lakini hakuna kati ya hao aliyependa kuoa bubu, ulichokuwa nacho kivumilie na kitengeneze.

Husayn Arif (@husaynarif) 's Twitter Profile Photo

"Ewe Allah! Nisamehe makosa yangu na madhambi. Ewe Allah! Nitukuze na uniondoshee upungufu wangu na uniongoze kufanya mema na tabia njema. Hakuna yeyote anayeweza kuongoza kwenye mema na wala kuepusha mabaya isipokuwa Wewe.

Husayn Arif (@husaynarif) 's Twitter Profile Photo

The *Very* same *Path* that Moses *Passed Through* Made the Pharaoh *Drown It’s *Not* about Having *Faith* in the *Path* but Having *Faith* in the One* who *Created* the *Path*

Husayn Arif (@husaynarif) 's Twitter Profile Photo

Ijue Dua'a pale jua linapochomoza.. Tuendelee kumcha Allah s.w... Lushoto Tanga Tanzania #allah #islam #daawahtanzania #husaynarif instagram.com/reel/C3USXEjKy…

Husayn Arif (@husaynarif) 's Twitter Profile Photo

Ijue Dua'a aliyofundisha Mtume s.a.w pindi unapopata majanga na huzuni.... لَا إِلَهَ إِلَّا اللهُ الْعَظِيمُ الحلِيمُ، لَا إِلَهَ إِلَّا اللهُ رَبُّ الْعَرْشِ الْعَظِيمِ،۔۔۔۔۔۔ instagram.com/reel/C3nWPIfKf…

Husayn Arif (@husaynarif) 's Twitter Profile Photo

Safisha moyo wako kwa kuepukana na kusikiliza mabaya ya watu... #allah #islam #quran #mawaidha #husaynarif #tanzania #tanzaniamuslims #daawahtanzania #eastafricanmuslims #nasaha #daresalaam #zanzibar #kenya #uganda🇺🇬 #reels #burundi #arusha instagram.com/reel/C327ITMqD…

Husayn Arif (@husaynarif) 's Twitter Profile Photo

IF YOU SEE SOMEONE WHO WAS CHEERFUL FOR YOU HAS SUDDENLY CHANGED TH TONE THEN KNOW SOMEONE HAS PRESENTED HIM UR EDITED FILE..

Husayn Arif (@husaynarif) 's Twitter Profile Photo

Shukrani zote kwa dhati ziwaendee wale wanawake wote waliotuhudumia katika mwezi mtukufu wa Ramadhaan...awe mama, dada, mke au binti n.k, kwakweli wamefanya jitihada kubwa kutupikia futari na daku .. Allah awatakabalie ibada zao 🤲

Husayn Arif (@husaynarif) 's Twitter Profile Photo

عن أبي هريرة رضي الله عنه أن رسول الله صلى الله عليه وسلم قال، قالَ اللَّهُ تَبارَكَ وتَعالَى: يا ابْنَ آدَمَ أنْفِقْ أُنْفِقْ عَلَيْكَ (صحيح البخاري ٥٣٥٨) Mtume ﷺ amesema, Allah tabaaraka wata'ala amesema : Ewe Mwana wa Adam! Toa, Nami nitakupa.

Husayn Arif (@husaynarif) 's Twitter Profile Photo

Yaaaa Allah! tusamehe makosa yetu, Wasamehe wazazi wetu, ziongowe nyoyo zetu , Zipe kinaa nyoyo zetu, Wape shifaa wagonjwa wetu, Zikubali Duaa zetu na pepo iwe makazi yetu