
HUDEFO
@hudefo
We are strategic foundation dealing with environmental conservation, waste management and recycling, advocacy and consultation
ID: 1106027303707033600
http://www.hudefo.or.tz 14-03-2019 03:00:32
2,2K Tweet
1,1K Followers
1,1K Following



Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bw. Abdallah Hassan Mitawi akifungua kikao cha wadau kuhusu kubadilishana uzoefu wa udhibiti na usimamizi wa taka za plastiki nchini, kilichofanyika Dodoma Januari 30,2025. Ofisi ya Makamu wa Rais


Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bw. Abdallah Hassan Mitawi (katikati waliokaa) katika picha ya pamoja & wadau mbalimbali wa mazingira baada ya kufungua kikao cha wadau kuhusu kubadilishana uzoefu wa udhibiti & usimamizi wa taka za plastiki kilichofanyika Dodoma Januari 30,2025.




Ofisi ya Makamu wa Rais imeandaa Mkakati wa Usimamizi wa Taka wa mwaka 2025-2030 ambao unalenga kuimarisha miundombinu ya usimamizi wa taka katika maeneo yote 🇹🇿. Hayo yamesemwa na Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bw. Abdallah Hassan Mitawi katika kikao cha wadau kuhusu kubadilishana uzoefu



All stakeholders must collaborate in efforts to manage plastic waste by applying the concept of Reduce, Reuse, and Recycle Waste (3Rs). HUDEFO Green Conservers Baraka Machumu kassimuziadah



The waste ( 3Rs)waste management strategies will help advance a circular economy where produced waste can be reused as raw materials in industries to create other products. HUDEFO Green Conservers Baraka Machumu kassimuziadah


All stakeholders must collaborate in efforts to manage plastic waste by enhancing the community in waste management programs like reduce,reuse and recycling. HUDEFO Green Conservers Baraka Machumu kassimuziadah







