Sio kweli Kiswahili si lugha changa ila inachakabiliwa na ushindani na watumiaji kutokuwa na nguvu za kiuchumi
Africa hatuna elim inayotokana na waafrica wenyewe hili ni tatizo kwa Africa
Dhumuni la vyama vya siasa sio mafanikio ni kupata ridhaa za wananchi Ktk kusimamia mali asili za taifa, Suala la mafanikio ni mchanganyiko wa vitu vingi brother
Inawezekana kaka Ila kwa tafsir ya katiba chama cha siasa ni njia ya kikatiba kutafuta ridhaa ya kuwa kwenye maamuzi ya mali asili za taifa
Ila bado kuna uwezokano kuwa vyama hivi ni magenge ya watu wasio na nia njema ya umma