MsumenoMkali15🇹🇿. (@hilujuma1) 's Twitter Profile
MsumenoMkali15🇹🇿.

@hilujuma1

ID: 1589523212416737280

calendar_today07-11-2022 07:41:34

1,1K Tweet

1,1K Takipçi

3,3K Takip Edilen

millardayo (@millardayo) 's Twitter Profile Photo

Jeshi la Polisi limezingira Ofisi za Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) na kufunga barabara zote za kuelekea katika ofisi hiyo na kuzuia Watu kufika eneo hilo, ambapo Wanachana wa CHADEMA walikusudia kuungana na Watanzania wengine kuadhimisha CHADEMA Mashujaa Day kuwakumbuka

Hamadi.Mbeyale🔥🔥 (@hamadchadema) 's Twitter Profile Photo

#Updates Baba mchungani wa kanisa la Lutheran KKKT DAMAS MWAKIPESILE pamoja na katibu wa kanisa hilo CLAUD PIUS waliokuwa wanashikiliwa na jeshi la polisi WAMEACHIWA USIKU HUU Ni baada ya kelele zetu watanzania. Aidha bado viongozi wetu wa chama waliokamatwa wanashikiliwa.

SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Leo wanangu wa #NoReformsNoElection ni siku maalumu ya kukumbuka MASHUJAA wetu wa kupigania HAKI & DEMOKRASIA ya kweli. #ChademaMashujaaDay Napiga LOKOO ya kushtukiza kujua nani bado yupo na sisi. Nakuomba hapo kwenye comment ndugu zangu wa #NoReformsNoElection REPOST 500

Leo wanangu wa #NoReformsNoElection  ni siku maalumu ya kukumbuka MASHUJAA wetu wa kupigania HAKI & DEMOKRASIA ya kweli. #ChademaMashujaaDay 

Napiga LOKOO ya kushtukiza kujua nani bado yupo na sisi. Nakuomba hapo kwenye comment ndugu zangu wa #NoReformsNoElection 

REPOST 500
Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 1 Mh. Lissu ameingia tayari akiwa na vibe kubwa sana. Majaji pia wameingia. Kesi hii itasikilizwa na majaji watatu wa Mahakama Kuu na wao pia wameshaingia. Nitawapa majina ya hawa majaji watatu. Wakatikati yuko bize kuandika hawa wawili

Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 2 Anaendele kuzungumza Mhe. Lissu Mimi niliyesema hayo maneno nitajitetea na niwasikilize hao wanaosema nimefanya uhaini kuwa nimetenda makosa hayo. Naomba pia mfahamu kabla mahakama hii haijaniteulia mawakili toka tukiwa kisutu sijawahi kuwa na

Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

Tundu Lissu alivyoingia Mahakamani na kupanda kizimbani. Tundu Lissu ana nguvu kuliko watu ambao wapo uraiani. #TunduLissuSioMhaini #FreeTunduLissu

SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 3 Jaji anasema Wakili Neema anakuwa discharged na mahakama ila kama ataendelea au kubaki na hiyo timu sisi hatuna shida mtamalizana nae. Pia kuhusu hiyo timu tunakuachia uendelee nayo kama ulivyoomba wakusaidie research. Anasimama Katuga sasa.

SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 4 Anakaribishwa Mhe. Tundu Lissu. Anasema kwamba sina pingamizi na mapendekezo ya wakili wa serikali Mkuu. Kwanini nimeleta hizo hoja mbili 1. 4/09/2025 nililetewa summons kuwa nitasomewa mashtaka leo na kuyajibu. Sasa kwenye shauri kama hili

SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 9 Anaendelea Mhe. Lissu Kwenye ukurasa wa 61 wa hii niliyopewa leo kuna taarifa kwamba kunashauri yamefunguliwa mahakama kuu kuhusu kuficha mashahidi na mkiangalia. Pia font ya nyaraka niliyoletewa awali na font niliyoletewa leo. Ombi langu

Rose Moshi Makei (@rosemakei) 's Twitter Profile Photo

Rais, Rais, Rais..Rais Rais Wanachama wa CHADEMA wakimshangilia Mh. Tundu Antiphas Lissu leo mara baada ya Mahakama kuu kuahirisha KESI hadi kesho jumanne tarehe 9/9/2025 saa nne asubuhi. #FREETUNDULISUNOW #NoJusticeNoPeace #NoReformsnoElection #StrongerTogether

Godbless E.J. Lema (@godbless_lema) 's Twitter Profile Photo

Niko tayari kukaa jela hata miaka 20 kama ni lazima. Hatuwezi kuruhusu wafanye wanavyotaka kwa sababu ya kutafuta uhuru wangu, kila tundu linalocheza na sheria lazima likabiliwe ili msingi wa kesi hii uwe msingi wa kushinda uovu na hila zake na kulinda haki na sheria. Tundu

Niko tayari kukaa jela hata miaka 20 kama ni lazima. Hatuwezi kuruhusu wafanye wanavyotaka kwa sababu ya kutafuta uhuru wangu, kila tundu linalocheza na sheria lazima likabiliwe ili msingi wa kesi hii uwe msingi wa kushinda uovu na hila zake na kulinda haki na sheria. 

Tundu
MsumenoMkali15🇹🇿. (@hilujuma1) 's Twitter Profile Photo

Ohoooooo kumekucha tena na tabu iko pale pale, jamaa anarudi ulingoni very soon. Tumeshafika viunga vya mahakama kuu, hapa tupo tayari kumsubiri mtaalamu Tundu Antiphas Lissu aje kuwakamua zaidi.

Ohoooooo kumekucha tena na tabu iko pale pale, jamaa anarudi ulingoni very soon.

Tumeshafika viunga vya mahakama kuu, hapa tupo tayari kumsubiri mtaalamu <a href="/TunduALissu/">Tundu Antiphas Lissu</a> aje kuwakamua zaidi.
SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Leo Septemba 9, 2025 Part 1 Kesi imeanza Mhe. Lissu ameingia. Katuga amesimama na kutambulisha jopo lake na mshitakiwa amesema yuko tayari. Jaji amesema naomba nitoe mrejesho wa tulianzia wapi jana na tuliishia wapi? Ametoa huo mrejesho kuwa sasa

Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 3 Anaendele Mhe. Lissu Kesi iliahirishwa 15/07 na siku hiyo kulikuwa na ugomvi kuhusu kuahirisha kuanzia page 53 to 60. Hii siku pia aliandika a reasoned ruling kwneye page 68 to 73 na hiyo ikawa mara ya tatu kwa Hakimu kutoa sababu za msingi

SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 3 Anaendele Mhe. Lissu Kesi iliahirishwa 15/07 na siku hiyo kulikuwa na ugomvi kuhusu kuahirisha kuanzia page 53 to 60. Hii siku pia aliandika a reasoned ruling kwneye page 68 to 73 na hiyo ikawa mara ya tatu kwa Hakimu kutoa sababu za msingi

Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 4 Anaendelea Mhe. Lissu Sasa hayo ni rahisi Nataka nianze na Magumu. Ukurasa wa 86 to 89 kuna amri ya hakimu wa mahakama ya kisutu ulibadilisha kabisa maudhui na maana ya uamuzi wa mahakama kuu kuhusu kuficha mashahidi. Mahakama kuu ilitoa

Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 5 Mhe. Lissu anamuuliza Katuganga nani anaevunja amri ya mahakama kati ya Wakili Mkuu wa Serikali na team yake yote ambao wamewaweka wazi wote. Kile walichoambiwa na Mahakama Kuu wasikifanye ndo wamekifanya, mwenye kosa ni nani hapo mimi au wao?

Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 6 Amemaliza Wakili wa Serikali Mrema Naona Majaji wanajadili jambo kidogo hapa Jaji Nduguru anasema kila upande una wajibu wa kuiambia mahakama sio useme navumilia. Kama kuna jambo lilionekana mapema kuna lina shida ulipaswa kusema na sio