mathew (@here_is_mathew) 's Twitter Profile
mathew

@here_is_mathew

voiceover artist 《》fan of @arsenal @YoungAfricansSC《》 marine scientist ,mere man ,funny

ID: 1445033683686146056

calendar_today04-10-2021 14:31:17

10,10K Tweet

1,1K Takipçi

1,1K Takip Edilen

Shakur Faith (@shaks_prince) 's Twitter Profile Photo

Repost kwa WATANZANIA wote waliopoteza maisha Tarehe 29 na 30 🕯️. Mwisho wa siku, nyie pia ni Wananchi halali na mnafaa kuombolezwa. R.I.P Comrades, tutaonana tena🙏

Lunch_For_Breakfast (@lvnch4breakfast) 's Twitter Profile Photo

Habari, Tafadhali Soma, Na pia Share Nasi majirani na watoto ambao Sahani Moja ya Chakula, Itaweza kuwagusa. Kwa Pamoja, Upendo Utatuvusha katika Kipindi Hiki❤️🇹🇿

Habari, Tafadhali Soma, Na pia Share Nasi majirani na watoto ambao Sahani Moja ya Chakula, Itaweza kuwagusa.
Kwa Pamoja, Upendo Utatuvusha katika Kipindi Hiki❤️🇹🇿
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿 (@esireid) 's Twitter Profile Photo

#TajiriLaKihaya Wanapotaja madhara ya vurugu siku ya uchaguzi, wanataja mali zao, magari, vituo vya mwendokasi na biashara binafsi za watu. Mamia ya watu waliowaua, kwao hawana thamani kulinganisha na hizo mali zao💔

Webiro Wakazi Wassira #TheLeader (@wakazi) 's Twitter Profile Photo

DONT PRAY FOR TANZANIA… FIGHT FOR IT! Hakuna Mtu perfect, na ni kweli baadhi ya Walioandamana walifanya uharibifu wa Mali (kutokana na hasira/ghadhabu), ila hiyo haiwapi DHAMANA Watawala kuwaua. Hata Mwizi au Jambazi anakamatwa na anapelekwa MAHAKAMANI. Hata Wauwaji nao huwa

DONT PRAY FOR TANZANIA… FIGHT FOR IT!

Hakuna Mtu perfect, na ni kweli baadhi ya Walioandamana walifanya uharibifu wa Mali (kutokana na hasira/ghadhabu), ila hiyo haiwapi DHAMANA Watawala kuwaua. Hata Mwizi au Jambazi anakamatwa na anapelekwa MAHAKAMANI. Hata Wauwaji nao huwa
The Chanzo (@thechanzo) 's Twitter Profile Photo

Watanzania walalama tatizo la kupoteza usingizi, kupata wasiwasi, sonona kufuatia matukio yaliyotokea toka Oktoba 29, wengine waeleza kutumia vilevi kukabiliana na hali hizo. Mwanasaikolojia aeleza namna ya kukabiliana na hali hii katika kipindi hiki.

SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Hawa ni Gen Z wa Mbeya wakimzika ndugu yao alieuliwa na Samia. "Ole wenu Polisi Hukumu inakuja" "Mkituua vijana nani atawazika"... REPOST 200 TUTAKUWEPO🫵😎

#TOTTechs (@tottechs) 's Twitter Profile Photo

Ili kuwapa heshima watu waliofariki au kuumia and for the future reference, I am thinking tunahitaji website/database au Archive kuwekwe taarifa na picha za walifariki au kupotea, tuwe na centralised platform ya kupata hizi taarifa zote. Hili wazo likoje? Au tunawaza mbali sana?

star light energy🌟 (@ohheylolbye) 's Twitter Profile Photo

If I die in these times of natural causes, I give you all my permission to spin the narrative and pin my demise against the regime. Use me to hike up the statistics. You have my blessing

Taivina James (@thereal_taivina) 's Twitter Profile Photo

Hizi Ni Tuzo ambazo Our Author Savatir 🇹🇿 alizipokea ila hazikupata bahati ya kufika Kigamboniiiii. Ila hii ZIKOMO kasema uhakika Msinitie aibu wanangu. Bonya Link ka Vote kwa SAVATIR👇👇 zikomoawards.com/polls/cmhw17m5… Repost Repost Repost

Hizi Ni Tuzo ambazo Our Author <a href="/theSavatir/">Savatir 🇹🇿</a> alizipokea ila hazikupata bahati ya kufika Kigamboniiiii. Ila hii ZIKOMO kasema uhakika Msinitie aibu wanangu.

Bonya Link ka Vote kwa SAVATIR👇👇
zikomoawards.com/polls/cmhw17m5…

Repost Repost Repost
Rose Rwegasira (@rosethrwegasira) 's Twitter Profile Photo

Me trying to explain to people why I disappeared. These past months we have been working to transition 33 public primary schools in Tanzania to modern cooking kitchens.

Me trying to explain to people why I disappeared.

These past months we have been working to transition 33 public primary schools in Tanzania to modern cooking kitchens.