Henry Imani (@henryimani_) 's Twitter Profile
Henry Imani

@henryimani_

Civil Engineer | Crypto Enthusiast

ID: 836910868860391424

calendar_today01-03-2017 12:07:54

1,1K Tweet

3,3K Followers

664 Following

Henry Imani (@henryimani_) 's Twitter Profile Photo

We did it, Hongereni TAL na Heche. Asanteni sana wajumbe kwa kulinda chama chetu. Ni muda wa mabadiliko ya kweli. Kudos!!

Henry Imani (@henryimani_) 's Twitter Profile Photo

Mnakumbuka utabiri wa Sheikh Yahya Hussein, unaenda kutimia mwaka huu 2025. Alisema “kuna rais mwanamme ataongoza nchi kwa term moja na atafariki madarakani, then mwanamke atakua rais na ataongoza kwa term moja alafu upinzani watachukua nchi”

Henry Imani (@henryimani_) 's Twitter Profile Photo

agrees to some extent but you still need GPUs, they did great job but they failed to handle an influx of users today. so you still need NVIDIA. but they proved you don’t need a cluster of GPUs to AGI.

Henry Imani (@henryimani_) 's Twitter Profile Photo

Sijui funga yako ipoje ila funga iliyoamriwa na biblia ni hiyo ya Mathayo 6:16 na Isaya 58:3 soma kidgo. Kufunga ni kujinyima, kama ulikua unakula milo mitatu sasa unakula mmoja, mingine unawapa wenye njaa na kuwavika wasio na nguo. Kufunga kwako kusiwatese wafanya kazi wako nk.

Mkizeeka hamna kitu mnaanza kulalamikia watoto hawawajali na kuacha laana fake😂😂.. Wekeza kidogo kidogo kwa maisha yako ya badae. Ukiweka tsh 100k UTT kila mwezi, muda huna nguvu za kutafuta tena, miaka 30 kutoka sasa utakua na 400 Million kwa account yako.

Henry Imani (@henryimani_) 's Twitter Profile Photo

anaongea akiwa ndani ya bunge, jengo ambalo bila principal za quadratic equations lisingejengeka., akitoka hapo anaenda kupewa dawa zake za sukari na pressure, dawa zilizotengenezwa kwa msaada wa periodic table. Safari ni ndefu sana!!

Henry Imani (@henryimani_) 's Twitter Profile Photo

kwahiyo wanaharakati uchwara wamejimilikisha agenda ya utekaji.? akitokea mtu akaunga mkono agenda, akasaidia kupaza sauti anakosaje uhalali.? kuna watu muda wote wanataka wawe relevant.