Hemed Ally Mngwali
@hemedallytz
BBT-YIA - WIZARA YA KILIMO
ID: 355513248
http://www.4umovement.com 15-08-2011 13:39:39
1,1K Tweet
1,1K Followers
631 Following
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Rukwa baada ya ufunguzi wa utaanuzi wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Tawi la Rukwa. Upanuzi wa chuo hichi kimogharimu kiasi cha Shilingi Bilion 14.68. Samia Suluhu
Ziara ya Mhe Rais Dkt Samia Suluhu inaendelea Mkoani Rukwa leo. Kilimo ndio shughuli kuu ya kiuchumi katika Mkoa wa Rukwa. Kwa miaka mingi Kilimo kimekuwa kikiwapatia wakazi wa Rukwa chakula cha kutosheleza mahitaji na kuwa na ziada ambayo huuzwa kwa Wakala wa Taifa wa Hifadhi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amemuagiza Waziri wa Kilimo Hussein M Bashe kuhakikisha bei ya ununuzi wa mahindi kuwa shilingi 700 Ameyasema hayo leo katika viwanja vya Mandela mkoani Rukwa. Akiagiza NFRA kununua mahindi kwa wakulima kwa bei
Ustahimilivu, Maridhiano, Kuujenga Upya Uchumi na Mageuzi Kwenye Sekta Mbali Mbali Ndio Msingi wa Maendeleo ya Taifa. Na hiyo ndiyo Dira Ya Samia. Samia Suluhu ikulu_Tanzania #DiraYaSamia
Kuna lidude likuuuuuubwa linaitwa Taifa Letu, Kesho Yetu Lina linda maslahi mapana ya Tanzania, linasimamia Four R (4R), linalinda tunu za Nchi yetu, linatambua na kuzitangaza kazi zilizofanywa na kuendelea kufanywa na Mheshimiwa Rais Dkt Samia Suluhu na linapita chini kwa chini. Hili
Ukurasa huu unatoa jumbe mbalimbali za upotoshaji si ukurasa halali wa TK Movement. Ukurasa wetu rasmi ni Taifa Letu, Kesho Yetu. Hivyo tupuuze taarifa za chuki na upotoshaji wa zinazotolewa na ukurasa huu.
Dr. Zubeda A.K.A Dr. Sisimizi , Dr. Mariam A.K.A Kigogo Media ni kawaida yenu kuzusha mambo yenu, Mkajitwishwa sinema zenu kwa vipande kwa Pesa na Mambo yakija tofauti mnabadili goal post. Siasa ni safari ndefu sana Dr Zubeda na Dr Mariam leteni taharuki nyingine.