Uncle Denny (@heisdenny29) 's Twitter Profile
Uncle Denny

@heisdenny29

Goats sometimes bite when pushed to the wall.

#SipigiPasiMitandio

ID: 1158842518320140288

calendar_today06-08-2019 20:49:21

45,45K Tweet

7,7K Followers

7,7K Following

Jebra Kambole (@advocate_jebra) 's Twitter Profile Photo

Nchi hii inawagonjwa wengi wa akili, na wengi wao ni viongozi! Mtu kama huyu anakuwaje kiongozi?, any way lakini wote ndo wale wale tu!

Munishi Renald (@munishirenald) 's Twitter Profile Photo

Mbuyu ulianza kama mchicha’ hii ideology itamea na itazaa matunda yake. CCM imetengeneza watu wanayoichukia haswa vijana wadogo na sio tena watu wenye tofauti kimtazamo. CDM too, watu wanaipenda sometimes bila sababu yoyote. Upendo wa mtu kwa ccm ni purely transactional tena

Spana & V.A.R Movement (@spana_konki) 's Twitter Profile Photo

“Nilikuwa naperuzi kwa kutumia simu yangu aina ya smartphone Sony Xperia Galaxy” Shahidi P5 ana simu SONY Xperia GALAXY, Unyama sana 😁🙌🏽

John Heche (@hechejohn) 's Twitter Profile Photo

Huko huko kwenye kibox cha siri mtu anapelekewa moto wa hatari… Natamani iwe live Watanzania waone fedha zao zinavyochezewa.

Farah Omar (@farahom91196252) 's Twitter Profile Photo

Mahakama kukataa kuahirisha kesi ya Lissu mpaka kesho ni jambo jema Huo ndio mchezo wa Mawakili wa serkali Lissu yuko Mahabusu zaidi ya siku 300 Kesi imesikilizwa mara 15 tu watasema tena gari Magereza linahitalafu ya taa tuahirishe giza lisiingie

Tito Magoti (@titomagoti) 's Twitter Profile Photo

Funzo muhimu kutoka kwa SC Tundu Lissu ni kujua na kudai haki yako kwa ustadi na weledi, na kuwa misimamo madhubuti. Ni wajibu wetu kuiishi misingi hii kwa kuepuka janja janja, na udalali wa kisiasa ktk kudai haki. Mungu amlinde mwanamwema huyu.

(---) Onesmo Mushi (@edutalktz) 's Twitter Profile Photo

Kushoto ni Mtanzania aliyefanya kosa la kudai haki za msingi za raia kwa mujibu wa katiba na kulia ni jizi lililokwapua mabilioni ya pesa za umma. Mmoja anasulubishwa na kunyamazishwa huku mwingine akitukuzwa. But but but “umaskini wetu unasababishwa na mabeberu.”

︎ ︎venom (@venom1s) 's Twitter Profile Photo

Women will sexualize themselves in every form possible and later blame men for it. She could easily wear normal pants and perform, but she knows the game.