Hancy Machemba (@hancymachemba) 's Twitter Profile
Hancy Machemba

@hancymachemba

Co Director Nasar General Supplies,
Mkulima,
Mfugaji
TANZANIA KWANZA

🏟Team CHELSEA

ID: 481783078

linkhttp://www.nasargeneral.com calendar_today03-02-2012 05:17:29

153,153K Tweet

133,133K Takipçi

33,33K Takip Edilen

Hancy Machemba (@hancymachemba) 's Twitter Profile Photo

Ktk matembezi yangu Shinyanga nikakutana na dada mmoja na mtoto mgongoni akiwa anaomba msaada kwaajili ya matibabu ya moyo wa mtoto wake wa mwaka mmoja.Amejaribu kwenda kwa mkuu wa mkoa na wilaya akafanikiwa kupata kibali cha kuchangisha. Gharama za matibabu ni 2m ila ana 100k tu