Hamad Masoud Hamad (@hamadmasoud951) 's Twitter Profile
Hamad Masoud Hamad

@hamadmasoud951

Official Twitter Account of Hamad M. Hamad, Secretary General of The Civic United Front-CUF & Former Minister of Infrastructure & Communication: Views are mine.

ID: 1474050459052691462

calendar_today23-12-2021 16:14:08

448 Tweet

3,3K Takipçi

196 Takip Edilen

Hamad Masoud Hamad (@hamadmasoud951) 's Twitter Profile Photo

It was a great honour to attend as a Panelist at the Official Launch of the Civil Society Organizations Election Manifesto (CSOs) held in Arusha this September.

Hakika tumepoteza mtu muhimu, mweledi na mahiri katika Tasnia ya Habari. Natoa pole kwa ndugu, jamaa, marafik, Wasafifm na wote walioguswa na msiba huu. Namuomba Allah amsamehe makosa yake na ampe Makazi mema, Peponi; Amiin.

Hakika tumepoteza mtu muhimu, mweledi na mahiri katika Tasnia ya Habari. Natoa pole kwa ndugu, jamaa, marafik, <a href="/wasafifm/">Wasafifm</a> na wote walioguswa na msiba huu. Namuomba Allah amsamehe makosa yake na ampe Makazi mema, Peponi; Amiin.
Hamad Masoud Hamad (@hamadmasoud951) 's Twitter Profile Photo

Leo tarehe 14/11/2024 nimefanya Mazungumzo na Mkurugenzi Mkaazi wa International Republican Institute, Mhe. Santell F. Barnes Ofisini kwangu, Buguruni, Dar-es-salam ambapo nimeishukuru taasisi yake kwa Ushirikiano wanaotupatia na kujadili Fursa na Changamoto mbali mbali kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025.

Leo tarehe 14/11/2024 nimefanya Mazungumzo na Mkurugenzi Mkaazi wa <a href="/IRIglobal/">International Republican Institute</a>, Mhe. Santell F. Barnes Ofisini kwangu, Buguruni, Dar-es-salam ambapo nimeishukuru taasisi yake kwa Ushirikiano wanaotupatia na kujadili Fursa na Changamoto mbali mbali kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025.
Hamad Masoud Hamad (@hamadmasoud951) 's Twitter Profile Photo

Nimeshiriki kama Mgeni Mualikwa katika Utoaji Tunzo wa Tanzania Muslims Emerging Youth Award - TAMEYA chini ya Taasisi ya Alfirdaus Charitable Foundation uliofanyika tarehe 10/11/2024 katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere - JNCC, Dar-es-salam.

"Nilimfuata Rais Magufuli na kuzungumza nae kuhusu kumsamehe Mzee Nassor Moyo ili arudi CCM. Rais Magufuli akanambia mwambie aombe radhi nitamsamehe. Nilipomwambia habari hiyo Mzee Moyo akanambia kamwambie siombi radhi. Mimi Chama changu ni ASP sio CCM." John Shibuda.

Mhe. Suzan Lyimo kutoka @ChademaTz akimnadi Mgombea wetu wa Uwenyekiti wa Mtaa wa Mkunduge, Kata ya Tandale, Mhe. Miraji Mtibwiriko. Hii ni baada ya Mgombea wao wa Uwenyekiti kuenguliwa na kubaki wajumbe wao watatu na sisi Mgombea wetu kurejeshwa na kuenguliwa wajumbe wetu wote.

Tanzania Center For Democracy (TCD) (@tcdemokrasia) 's Twitter Profile Photo

Leo tarehe 18 Desemba, wajumbe kutoka Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) wamehudhuria Mkutano Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF). TCD imepokea cheti cha kutambua mchango wake katika kukuza demokrasia nchini. Tunatoa shukrani za dhati kwa uongozi wa CUF kwa heshima hii.

Leo tarehe 18 Desemba, wajumbe kutoka Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) wamehudhuria Mkutano Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF). TCD imepokea cheti cha kutambua mchango wake katika kukuza demokrasia nchini. 

Tunatoa shukrani za dhati kwa uongozi wa CUF kwa heshima hii.
Hamad Masoud Hamad (@hamadmasoud951) 's Twitter Profile Photo

Hakuna Binadamu Mkamilifu. Inawezekana kabisa tulikoseana ama kwa Makusudi au kwa kutokujua. Nawaombeni radhi wale wote niliowakosea na ukweli huu kwangu anaujua Mungu, mimi nimewasameheni nyote. Nakutakieni safari njema, murudi nyumbani salama na kwaherini ya kuonana.

Nikiondoka mara baada ya kumalizika kwa Mazishi ya Shekh Mohamed Iddy yaliyofanyika Mkata, Handeni, Tanga jioni ya leo tarehe 31/01/2025. Allah amsamehe makosa yake na amjaalie yeye pamoja na sisi Pepo yawe makaazi yetu. Amen!

Nawatakia Waislam wote duniani Ramadhan Qareem. Allah atutakabalie Dua na Ibada zetu, atupe nguvu za kutekeleza faradhi na sunna za mwezi huu na atupe amani, mapenzi na fadhila za Mwezi huu Mtukufu wa Ramadhan; Amiin.

"Na mkisubiri na mkawa na taqwa hakitokudhuruni chochote katika hila zao. Hakika Allah ni Mwenye kuyazunguka wayatendayo." Aal-‘Imraan: 120.

Eid El Fitri ni siku ya sherehe na shukrani kwa baraka zilizopatikana ndani ya mwezi mtukufu wa Ramadhani. Nachukua fursa hii kuwatakia Waislamu wote #EidMubarak na muomba Allah atujaalie furaha na amani katika kusherehekea siku hii muhimu kwetu.

Nimezipokea kwa masikitiko makubwa taarifa za kifo cha aliewahi kua Mbunge wa CUF, Jimbo la Malindi, Mhe. Mohammed Sanya. Natoa pole kwa familiya yake na namuomba Allah amsamehe makosa yake na amjaalie pepo yawe makaazi yake. Hakika sisi sote ni wa Mungu na kwake tutarejea.

Nimezipokea kwa masikitiko makubwa taarifa za kifo cha aliewahi kua Mbunge wa CUF, Jimbo la Malindi, Mhe. Mohammed Sanya. Natoa pole kwa familiya yake na namuomba Allah amsamehe makosa yake na amjaalie pepo yawe makaazi yake. 

Hakika sisi sote ni wa Mungu na kwake tutarejea.
Hamad Masoud Hamad (@hamadmasoud951) 's Twitter Profile Photo

Nimezipokea kwa masikitiko taarifa za kifo cha Mkurugenzi wa Idara ya Mawasiliano Ikulu na Msemaji Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Mhe. Charles Hillary. Natoa pole kwa familia, ndugu na jamaa kwa msiba huu nzito na namuomba Allah amlaze mahala pema peponi. Amen.

Leo tarehe 30/06/2025 nitachukua fomu ya Kugombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama changu cha Wananchi - CUF. Zoezi hilo litafanyika katika Ofisi za Wilaya ya Magharibi B, Kilimahewa, Unguja, Zanazbiar saa 5:00 za asubuhi. Namumboa Allah aniongoze katika kila hatua.

Nipashe Tanzania (@nipashetz) 's Twitter Profile Photo

Tembelea epaper.ippmedia.com kusoma gazeti lako au wasiliana nasi 📞+255 745 -700 710 au 0677- 020 701 kwa maelezo zaidi.WhatsApp 0715086344 Julai 01, 2025

Tembelea epaper.ippmedia.com kusoma gazeti lako au wasiliana nasi 📞+255 745 -700 710 au 0677- 020 701 kwa maelezo zaidi.WhatsApp 0715086344

Julai 01, 2025
Hamad Masoud Hamad (@hamadmasoud951) 's Twitter Profile Photo

Namshukuru Allah kwa kuniwezesha kukamilisha hatua moja muhimu ya kuchukua na kurejesha fomu ya Chama ya Kugombea Urais wa Zanzibar. Ni matumaini yangu kwamba kama nilivyoweza kukamilisha hatua hii ya awali, nitaweza pia kukamilisha hatua zote muhimu zilizobaki.

Nikiwa rais wa nchi hii yajayo yatakua ni neema kwa wote. Tuna mikakati mizuri, ya kistaarabu na ya amani kabisa ya kuhakikisha tunawaunganisha Wazanzibari na Watanzania wote.

Nawashkuru sana Wajumbe wa Mkutano Mkuu Taifa kwa kuniamini na kunichagua kwa kura nyingi (406) kua Mgombea wa Urais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kupitia Chama chetu cha Wananchi - CUF. Nawaahidini ndani ya muda huu mfupi uliobaki nitapambana kuhakikisha tunashinda.

Nikipokea fomu ya uteuzi ya kugombea nafasi ya Urais wa Zanzibar kutoka kwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC). Zoezi hilo limefanyika leo tarehe 30/8/2025 katika Ofisi za Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) zilizopo Maisara, Mkoa wa Mjini Magharibi, Unguja.