Grace Shio
@graceshio03
- Politician-Chadema Secretary Nyasa zone.
- Born again Christian
- An Entrepreneur| Founder of Urithi Co. Ltd |Tourism| food|realestate @urithi03 @urithitours
ID: 1822481739060858880
https://urithitours.co.tz 11-08-2024 03:55:01
430 Tweet
1,1K Takipçi
208 Takip Edilen
Wanachama wakiimba 'Mwenyekiti Mwenyekiti Mwenyekiti' Kesi imeahirishwa mpaka kesho ambapo Mh. Tundu Antiphas Lissu ataendelea na hoja yake yenye lengo la kuonesha kuwa ile hati ya mashtaka imekosa sifa hivyo Jaji afutilie mbali hii kesi. TUTASHINDA
Sijasikia vizuri, Wanasemaje Hawa Wananchi? Muda si mrefu 'The chosen one' Tundu Antiphas Lissu ataingia Mahakamani kuendelea alipoishia Jana. #TUTASHINDA
Wanachama, Viongozi na Wapenda Demokrasia wakitoka nje ya chumba cha Mahakama kutokana na chumba cha Mahakama kujaa Askari Polisi na Wanachama wetu kuzuiwa kuingia kusikiliza kesi Habari mpya ni kuwa Mh. Tundu Antiphas Lissu naye amegoma kuendelea na shauri mpaka Wananchi warudi
Wanachama, Viongozi na Wapenda Demokrasia wakitoka nje ya chumba cha Mahakama kutokana na chumba cha Mahakama kujaa Askari Polisi na Wanachama wetu kuzuiwa kuingia kusikiliza kesi Habari mpya ni kuwa Mh. Tundu Antiphas Lissu naye amegoma kuendelea na shauri mpaka Wananchi warudi
Mh. Mwenyekiti Tundu Antiphas Lissu amemaliza kuweka pingamizi lake juu ya ubovu wa hati ya Mashtaka kwamba haikufuata Sheria... Ameweka Authority za kutosha na kumalizia kuiomba Mahakama ifutilie mbali shauri hili.. Imagine Hati ya mashtaka haioneshi anashitakiwa kwa Kosa gani.. Dah!
Mawakili 6 wa Serikali leo watajibu hoja zilizotolewa na Mh. Tundu Antiphas Lissu kuhusiana na hati ya Mashtaka kukosa vigezo vya kisheria. Ni kwamba hati ya mashtaka haisemi hata kosa analoshtakiwa nalo. Kisheria hiyo inatosha kuifutilia mbali hii kesi. Wahi Mahakamani. TUTASHINDA
Kama Bwana wa Majeshi aishivyo! Asanteni sana Wana wa Sirari kwa ulinzi huu uliotukuka kwa Mh. John Heche