PABLO LEGEND (@googleplustz) 's Twitter Profile
PABLO LEGEND

@googleplustz

GOD DECISION

ID: 1550916454509416448

calendar_today23-07-2022 18:51:34

755 Tweet

450 Followers

427 Following

๐Ÿงกฤžร˜ฤ€T 7 ๐Ÿ‡ต๐Ÿ‡น (@joao_bakaso) 's Twitter Profile Photo

๐Ÿ”†Follow everyone who's retweet๐Ÿ”ƒ this gain ๐Ÿ”† ๐Ÿ”†drop your handles like โ™ฅ๏ธ please follow me I follow back immediately ๐Ÿ”†

PABLO LEGEND (@googleplustz) 's Twitter Profile Photo

Usi ruhusu binadam wakuu zoee sana kumbuka binadam kwamba hawana kumbu kumbu hata utende mema elfu baya moja hufuta wema wotee

PABLO LEGEND (@googleplustz) 's Twitter Profile Photo

Jifunze kuwa mkalimu kwa wale wenye huruma na wewe ila usiwe mkalimu kwa kila mmoja kumbuka kuwa hataa yesu alikuwa mkalimu kwa yuda eskarioti

PABLO LEGEND (@googleplustz) 's Twitter Profile Photo

Kuna wakatii inakubidi uteseke au ukubali kuwa mjinga ili upate unacho kihitaji lakini chonde chonde usi vumilie zarau sababu wewe ni mmoja tu katika dunia hii na hakuna mtu atakuja awe wewe