Godson Noah (@godsonnoah1) 's Twitter Profile
Godson Noah

@godsonnoah1

pool

ID: 1248950833229836288

calendar_today11-04-2020 12:27:52

10 Tweet

1 Takipçi

153 Takip Edilen

Godson Noah (@godsonnoah1) 's Twitter Profile Photo

Napenda kuwaambia wale wanaodhani siasa haiwahusu, Moja ya madhara ya kukataa kujihusisha na siasa ni kwamba utaongozwa na watu uliowazidi akili. Na kwa upungufu wao wa akili watafanya maamuzi ya kila kitu kinachohusu maisha yako"-

. "Kama hatuamini uhuru wa maoni kwa wapinzani wetu, basi hatuamini katika uhuru wa maoni kabisa. Kwa sababu wafuasi wetu hawahitaji uhuru wa kusema, bali wapinzani wetu"