Godbless Joseph (@godblessjo38742) 's Twitter Profile
Godbless Joseph

@godblessjo38742

ID: 1768498179484377088

calendar_today15-03-2024 04:44:03

2 Tweet

8 Followers

63 Following

Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

CCM, MSAJILI wa VYAMA vya SIASA; WANACHEKESHA. Kuna jitihada zinazoendelea kufunika dosari kubwa za kikatiba, kikanuni, na kisiasa katika mchakato wa kumteua mgombea Urais CCM mwaka 2025. Mchakato huo ulikuwa na dosari za msingi na kimantiki. Wachambuzi na wapambe wa DOLA

CCM, MSAJILI wa VYAMA vya SIASA; WANACHEKESHA.

Kuna jitihada zinazoendelea kufunika dosari kubwa za kikatiba, kikanuni, na kisiasa katika mchakato wa kumteua mgombea Urais CCM mwaka 2025. Mchakato huo ulikuwa na dosari za msingi na kimantiki.

Wachambuzi na wapambe wa DOLA
Boniface Jacob (@exmayorubungo) 's Twitter Profile Photo

BALILE NI MWANDISHI AU DOLA..? MASWALI KUMI (12) KWA BALILE. 1.Balile anawezaje kugeuka kuwa mchomaji wa waandishi wenzake wa Habari..? 2.Balile aliyefundishwa kujifundisha na kukosoa jamii anachukiaje akiona mwandishi anakosa taaluma ya Uandishi wa Habari? 3.Balile anawezaje

Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

1.Wafuasi na wanachama wa CHADEMA hatusambazi kazi za chama mitandaoni kwa kiwango cha kutosha. Tumejazana Facebook, Twitter, Instagram, TikTok na kwingine huko, lakini hatubebi kazi za chama. 2.Wafuasi na wanachama wa CHADEMA hatutembelei ipasavyo akaunti rasmi za chama katika

Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

Hata katika kesi ya kwanza ya uhaini Tanzania, mwaka 1970, washtakiwa katika kesi hiyo walikuwa saba na walikuwa wanaletwa Mahakamani na askari waliovaa kwa unadhifu. Hawakuficha sura zao kwa soksi. Miaka 55 imepita, mwaka 2025, askari wa magereza wanamleta kiongozi wa chama

Hata katika kesi ya kwanza ya uhaini Tanzania, mwaka 1970, washtakiwa katika kesi hiyo walikuwa saba na walikuwa wanaletwa Mahakamani na askari waliovaa kwa unadhifu. Hawakuficha sura zao kwa soksi.

Miaka 55 imepita, mwaka 2025, askari wa magereza wanamleta kiongozi wa chama
MalisaGJ (@malisagj_) 's Twitter Profile Photo

Chagua nukuu moja udedicate kwa Mwenyekiti wa Chadema taifa, Tundu Lissu katika wakati huu mgumu anaopitia. Je ni nukuu ipi inaendana na picha? A). "Chama kinachohitaji polisi na magereza ili kushinda uchaguzi tayari kimeshashindwa kabla ya uchaguzi" Nelson Mandela. B).

Chagua nukuu moja udedicate kwa Mwenyekiti wa Chadema taifa, Tundu Lissu katika wakati huu mgumu anaopitia. Je ni nukuu ipi inaendana na picha?

A). "Chama kinachohitaji polisi na magereza ili kushinda uchaguzi tayari kimeshashindwa kabla ya uchaguzi" Nelson Mandela.

B).
MwanzoTvPlus (@mwanzotvplus) 's Twitter Profile Photo

KIMEWAKA! POLEPOLE AZUA MABALAA YA CCM, ATAKA LISSU NA CHADEMA WAACHIWE WAFANYE SIASA, AAPA KUFUNGUKA MAZITO: youtu.be/Uogd5R-Re7g

Amb. Humphrey H Polepole (@polepolehumph) 's Twitter Profile Photo

Mnisamehe sana, pamoja na yote mema niliyofanya, nawasihi, msishiriki kiini macho. Tunahitaji independent overwatch na muafaka kitaifa. Mungu wa mbinguni awabariki. #kataawahuni Ahsanteni

Mnisamehe sana, pamoja na yote mema niliyofanya, nawasihi, msishiriki kiini macho.

Tunahitaji independent overwatch na muafaka kitaifa.

Mungu wa mbinguni awabariki.

#kataawahuni

Ahsanteni
SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Wanaofuatilia PRESS za Polepole live kila siku kupitia Mitandao yake ya kijamii sio chini ya watu 100K (Laki moja). Wanaofuatilia baadae alichozungumza POLEPOLE sio chinibya watu 1.5M-3M Hizi namba zipo mtandaoni unaweza kwenda kuthibitisha. LEO MASISIEMU yalikuwa na uzinduzi

SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

LEO SAA 3 USIKU NDUGU POLEPOLE ATAONGEA NA WATANZANIA. Sikiliza kwa makini mambo ambayo ataenda kuyazungumzia. Hakika hii sio ya kukosa. Jana Kikwete alimjibu Polepole kwenye mkutano wa uzinduzi wa Kampeni. Leo polepole atajibu hoja zake USIPANGE KUKOSA REPOST TUTAKUWEPO🫵😎

SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Leo Septemba 9, 2025 Part 1 Kesi imeanza Mhe. Lissu ameingia. Katuga amesimama na kutambulisha jopo lake na mshitakiwa amesema yuko tayari. Jaji amesema naomba nitoe mrejesho wa tulianzia wapi jana na tuliishia wapi? Ametoa huo mrejesho kuwa sasa

Boniface Mwabukusi (@mwabuk2boniface) 's Twitter Profile Photo

Tundu Antipas Mugway Lissu siyo wakili tuu anayejua kuongea na kupanga hoja. Kwasanaa ya sheria watu wa namna hii huwa tunawaita "Legal Maneac" ni watu wenye ueledi wa kina na ubobevu ambao huwezi kuupata Darasani... NI CHUO KIKUU CHA HIYARI CHA TAFAKURI ZA KISHERIA. BAK

Tundu Antipas Mugway Lissu siyo wakili  tuu anayejua kuongea na kupanga hoja.

 Kwasanaa ya sheria watu wa namna hii huwa tunawaita "Legal Maneac" ni watu wenye ueledi wa kina na ubobevu ambao huwezi kuupata Darasani... NI CHUO KIKUU CHA HIYARI CHA TAFAKURI ZA KISHERIA. 

BAK
Glorious Shoo (@glojos88) 's Twitter Profile Photo

WITO KWA WATUMISHI WA MUNGU TANZANIA Tunao wajibu wa kuomba na wajibu wa kusema kwa sauti kubwa! Nimelia na nimeumia mno. Nimeongea na viongozi wa kitaifa na wakuu wengine tangu mwaka jana mwezi August kuhusu suala la utekaji. Juzi nimeongea kirefu na kiongozi mwingine. Bado bado

WITO KWA WATUMISHI WA MUNGU TANZANIA
Tunao wajibu wa kuomba na wajibu wa kusema kwa sauti kubwa! Nimelia na nimeumia mno. Nimeongea na viongozi wa kitaifa na wakuu wengine tangu mwaka jana mwezi August kuhusu suala la utekaji. Juzi nimeongea kirefu na kiongozi mwingine. Bado bado
Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 87 Mhe. Lissu : waeleze Majaji kama unafahamu kama mwezi January 1991 Rais Mwinyi aliunda tume ya Rais ya kama twende na chama kimoja au vingi? Kaaya: Sina kumbukumbu hizo. Mhe. Lissu : Tarehe 17 Feb. 1992 tume hiyo maarufu kama Tume ya Nyalali

Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

Kimewaka sana Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala ndogo ya Dar es Salaam mchana wa leo katika mwendelezo wa kesi ya uhaini inayomkabili Tundu A.M Lissu. Leo asubuhi aliletwa shahidi mmoja, alivyomaliza ushahidi wake wa kizandiki, Jaji akaagiza aletwe shahidi mwingine. Mawakili wa

Kimewaka sana Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala ndogo ya Dar es Salaam mchana wa leo katika mwendelezo wa kesi ya uhaini inayomkabili Tundu A.M Lissu. Leo asubuhi aliletwa shahidi mmoja, alivyomaliza ushahidi wake wa kizandiki, Jaji akaagiza aletwe shahidi mwingine. Mawakili wa
Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

TOILET PAPER. Media house ni corrupted kwa kiwango kisichorekebishika. Narejea katuni ya Masoud Kipanya alipozifananisha na ‘toilet paper’. Nafikiri hakukosea. Zinaogopa kuripoti cross-examination ya Tundu Lissu (tazama video). zinaandika na kuonesha upande wa