profile-img
Godbless E.J. Lema

@godbless_lema

Politician/Activist/Member @Chadematz Central Committee
Former MP Arusha Urban (2010 -2020),
Shadow Minister Home Affairs,
Husband and Father

calendar_today24-03-2017 13:53:39

8,3K Tweets

1,0M Followers

981 Following

Godbless E.J. Lema(@godbless_lema) 's Twitter Profile Photo

Baba Askofu nakusalimu.Waumini wa KKKT DMZV wamepanga kufanya maandamano ya amani kesho ktk mkutano wa Halmashauri Kuu ambao nafahamu kuwa wewe utakuwa mgeni maalumu. Kanisa halikupaswa kufika ktk hatua hii hapa,kwamba dhambi sasa inaweza kuwa na nguvu kuliko uadilifu.Mambo yako…

account_circle