Gilbert Gibbs (@gilbertgibbs15) 's Twitter Profile
Gilbert Gibbs

@gilbertgibbs15

Jesus is my Lord and Saviour💯
Mech. Eng , Influential & Trader
BTMM Expert©️📈📉
Proudly African, Tanzanian🇹🇿

ID: 1111787827489050624

calendar_today30-03-2019 00:30:48

1,1K Tweet

61 Followers

215 Following

EastAfricaTV (@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

#SUPATECH: Watu wengi wamelalamika betri za kompyuta mpakato kusumbua mara baada ya kuinunua (Laptop), sasa kabla hujanunua kompyuta mpakato ni vyema ukafahamu hili.

#SUPATECH: Watu wengi wamelalamika betri za kompyuta mpakato kusumbua mara baada ya kuinunua (Laptop), sasa kabla hujanunua kompyuta mpakato ni vyema ukafahamu hili.
Tanzania Abroad TV (@abroadtanzania) 's Twitter Profile Photo

Ikiwa USA na Ufaransa wanataka Uranium, njoo Niger na ujenge vinu vya nyuklia. Ukitaka kakao, njoo Afrika ujenge kampuni ya Chocolate. Ukitaka shaba, Almasi, Tantalum, Tin, Dhahabu na fedha nyinginezo njoo Afrika ujenge kampuni. Ukitaka Lithium kutoka Zimbabwe njoo ujenge

Bonge La Afya (@bongelaafya) 's Twitter Profile Photo

Ilianza kama duka la dawa tu la kawaida likisimamiwa na kuuzwa na yeye pamoja na mke wake Rabininsia (RIP), baada ya muda ikawa Zahanati wakaiita Mico mpaka imekuwa hospitali kubwa ya kanda yenye huduma mpaka za saratani na kwa kumbukumbu ya mke wake mwaka 2014 ikaitwa Rabininsia

MIRIAM💜 (@miriammkanaka) 's Twitter Profile Photo

Pastor anasema watu wengi wanaingia kwenye ndoa kwa vitu vitatu. 1. Pressure ya Familia 2. Matatizo ya kiuchumi 3. Pressure ya kidini Huyu Jamaa kichwa sana 🙏🏿

Tanzania Digest (@tanzaniadigest) 's Twitter Profile Photo

As Tanzania plans to partner with DP World, what can we learn from the company's global investments? Each case offers valuable insights from Dubai's success to Djibouti's controversy. How Tanzania can solve this puzzle? Read insights here. digest.tz/lessons-from-o…

Dr. Hamisi Kigwangalla (@hkigwangalla) 's Twitter Profile Photo

“Wanaume waliofulia hujionesha wana hela saana ili kuvutia wanawake, lakini wanaume wenye mzigo hujifanya wamefulia ili kuwapima wanawake. Ukiwa bize kutafuta wanawake utapoteza sana pesa, lakini hautopoteza wanawake wakati unasaka mshiko!” Unknown. #HK #Fighter #NjeYaBox

Daniel (@mnkedaniel) 's Twitter Profile Photo

2. The Golden Rule "You want to deliver to the world what you would buy if you were on the other end." This idea is close to the golden rule known in questions of ethics and morals: “Treat others as you would like to be treated.”

2. The Golden Rule

"You want to deliver to the world what you would buy if you were on the other end."

This idea is close to the golden rule known in questions of ethics and morals:

“Treat others as you would like to be treated.”
Daniel (@mnkedaniel) 's Twitter Profile Photo

3. Acquiring Wisdom The easiest and simultaneously hardest way to get ahead in life is lifelong learning. The good thing is that learning can be very easy when you follow your curiosity. You'll always outperform the person that stopped learning new things.

3. Acquiring Wisdom

The easiest and simultaneously hardest way to get ahead in life is lifelong learning.

The good thing is that learning can be very easy when you follow your curiosity.

You'll always outperform the person that stopped learning new things.
Daniel (@mnkedaniel) 's Twitter Profile Photo

4. Multidisciplinary Ideas Munger is famous for his multidisciplinary approach. He wants to be a Swiss army knife equipped with the most important concepts of the biggest fields. Your thinking improves dramatically when you can look at problems from different angles.

4. Multidisciplinary Ideas

Munger is famous for his multidisciplinary approach.

He wants to be a Swiss army knife equipped with the most important concepts of the biggest fields.

Your thinking improves dramatically when you can look at problems from different angles.
#ElimikaWikiendi (@elimikawikiendi) 's Twitter Profile Photo

NUKUU YA LEO: “Kwanza tafuta nafasi, ukipata nafasi onesha uwezo, ukionesha uwezo utajenga jina na kuaminika, ukiaminika utaanza kupata hela. Katika kupitia hatua hizi ni lazima ukubali maumivu ya mchakato wa lazima.” - Ruge Mutahaba