Giguna Kalelema (@gigunakalelem) 's Twitter Profile
Giguna Kalelema

@gigunakalelem

Advocate

ID: 884851446751121408

calendar_today11-07-2017 19:06:39

1,1K Tweet

2,2K Takipçi

5,5K Takip Edilen

Giguna Kalelema (@gigunakalelem) 's Twitter Profile Photo

Nawatakia Eid El Fitr ndugu zangu waislmu,tuzingatie kujikinga na corona kwa kuepuka mikusanyiko,kunawa na sabuni na maji tiririka au kupaka sanitizer.. Allah awe pamoja nasi

Jon Mrema (@jonmrema) 's Twitter Profile Photo

Msajili wa Vyama huoni huu ukiukwaji wa sheria ya Vyama vya siasa ? Watumishi wa umma wanalazimishwa kushiriki siasa na kuvaa nguo za vyama ....Chukua hatua ya kukemea ili ulinde heshima ya ofisi yako. .....

Msajili wa Vyama huoni huu ukiukwaji wa sheria ya Vyama vya siasa ? Watumishi wa umma wanalazimishwa kushiriki siasa na kuvaa nguo za vyama ....Chukua hatua ya kukemea ili ulinde heshima ya ofisi yako. .....
Giguna Kalelema (@gigunakalelem) 's Twitter Profile Photo

Bado ni vigumu kuamini,Mzee Mkapa,Mzee Mkapa...nenda baba kapumzike inabidi tukubaliane na kazi ya Mola,kwa weledi wako uliliongoza taifa la JMT hadi pale ulipoishia,Mungu akupumzishe kwa aman baba.

Hizi ndiyo nchi zenye demokrasia nzuri duniani...maandamano ya aman ni takwa la kikatiba...unapomzuia mtu kufanya maandamano ya aman ni saw na kumnyima haki yake...,to avoid all these let's demand new constitution.

Giguna Kalelema (@gigunakalelem) 's Twitter Profile Photo

Kumbe siku hizi ukianzisha kongamano la kudai katiba mpya unatuhumiwa na kushitakiwa kwa kosa la ugaidi,Police Force TZ mnakwama wapi...tatizo lenu hata sheria hamjui na mnafanya kazi beyond your powers. Badilikeni mnadhalilisha jeshi la polisi na kulikosea heshima