Bayona Gibson George (@gibson_bayona) 's Twitter Profile
Bayona Gibson George

@gibson_bayona

PA to the Minister of Water| Leadership&Governance Expert(MA) Economic Diplomacy Expert(PGD) Political Science&Public Admin Expert(BA) STRATEGIST

ID: 3047479987

linkhttps://instagram.com/gipson_george?utm_source=ig_profile_share&igshid=qfju6rjw252e calendar_today27-02-2015 19:07:35

1,1K Tweet

1,1K Followers

970 Following

Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Mapema leo katika kazi mkoani Kilimanjaro, ambapo nimezindua rasmi Awamu ya Kwanza ya Mradi wa Maji wa Same - Mwanga - Korogwe. Mradi huu ni sehemu ya kazi ya Serikali ya miradi takribani 1,500 tunayoendelea kuitekeleza nchi nzima katika kuhakikisha kila mwananchi anapata maji

Victoria C Mwanziva (@victoriacharlz) 's Twitter Profile Photo

KAZI INAENDELEA LINDI Pembezoni mwa Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Shule ya Sekondari Wasichana Mkoa wa Lindi lililowekwa na Mheshimiwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan Tarehe 19 Septemba 2023. 🇹🇿Asante Mheshimiwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa zaidi ya Bilioni 4.6 ambayo imejenga

KAZI INAENDELEA LINDI

Pembezoni mwa Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Shule ya Sekondari Wasichana Mkoa wa Lindi lililowekwa na Mheshimiwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan Tarehe 19 Septemba 2023. 

🇹🇿Asante Mheshimiwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa zaidi ya Bilioni 4.6 ambayo imejenga
Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Dodoma 10.03.2025 Jumatatu njema katika kazi Dodoma, ambapo pamoja na mambo mengine nimeongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Dodoma 

10.03.2025

Jumatatu njema katika kazi Dodoma, ambapo pamoja na mambo mengine nimeongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).
ikulu_Tanzania (@ikulumawasliano) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Tuzo ya Kinara wa Maji Afrika (The PANAFRICAN Water, Sanitation and Hygiene Champion Award) kutoka kwa Taasisi ya WaterAid UK ya nchini Uingereza wakati wa hafla ya Kilele cha Wiki ya Maji na Uzinduzi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Tuzo ya Kinara wa Maji Afrika (The PANAFRICAN Water, Sanitation and Hygiene Champion Award) kutoka kwa Taasisi ya WaterAid UK ya nchini Uingereza wakati wa hafla ya Kilele cha Wiki ya Maji na Uzinduzi
Victoria C Mwanziva (@victoriacharlz) 's Twitter Profile Photo

Namshukuru Mwenyezi Mungu kwa baraka na neema zake kwa kunipa fursa hii ya kipekee ya kushiriki mafunzo nchini China. “Seminar on Belt & Road Cooperation between China and African Countries” Academy for International Business Officials (AIBO), Ministry of Commerce, P. R. China.

Namshukuru Mwenyezi Mungu kwa baraka na neema zake kwa kunipa fursa hii ya kipekee ya kushiriki mafunzo nchini China.
“Seminar on Belt & Road Cooperation between China and African Countries” 
Academy for International Business Officials (AIBO), Ministry of Commerce, P. R. China.
ikulu_Tanzania (@ikulumawasliano) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akijumuika na waislamu wengine kusali swala ya Eid katika kukamilisha ibada ya Mfungo wa Ramadhan katika Msikiti wa Mohamed VI uliopo katika Makao Makuu ya Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki Baraza la Eid El-Fitr katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es salaam , leo tarehe 31 Machi, 2025.

Amb. Noel Kaganda (@nekaganda) 's Twitter Profile Photo

Sun Tzu stressed the importance of knowing when to fight and when to retreat. Retreating is not necessarily an act of surrender or defeat. It could be a purposeful & strategic move to one’s advantage. I commend Dr Boureima Hama Sambo wise move to exit the race and request him to support 🇹🇿

Sun Tzu stressed the importance of knowing when to fight and when to retreat. Retreating is not necessarily an act of surrender or defeat. It could be a purposeful &amp; strategic move to one’s advantage. I commend <a href="/DrBoureima/">Dr Boureima Hama Sambo</a> wise move to exit the race and request him to support 🇹🇿
ikulu_Tanzania (@ikulumawasliano) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Hamis Juma mfano wa ufunguo mara baada ya uzinduzi wa Jengo la Makao Makuu ya Mahakama ya Tanzania, Tume ya Utumishi wa Mahakama pamoja na Makazi ya Majaji

Tazama muhtasari wa matukio yote muhimu aliyoyafanya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika wiki hii.

Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Pongezi za dhati kwa Klabu ya Simba kwa ushindi katika mchezo wa mashindano ya Kombe la Shirikisho Afrika (CAF Confederation Cup). Ushindi wenu ni furaha kwa mashabiki wenu na burudani kwa Watanzania wote. Ninawatakia kila la kheri katika Nusu Fainali.

Bayona Gibson George (@gibson_bayona) 's Twitter Profile Photo

Shamrashamra za mapokezi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan mara baada ya kuwasili Wilayani Busega Mkoani Simiyu tarehe 15 Juni, 2025.

Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

Hii imeniliza sana.😭😭😭😭 Ukiona mpaka mwanaume analia hivi hadharani ujue, moyo wake umebeba maumivu makali. Mungu awatie nguvu Familia ya Polepole tuko pamoja kwenye hili tutaendelea kusema #FreeHumphreyPolepole

Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Nikiwa njiani kuelekea Mkoa wa Mara, nimesimama kuwasalimu na kuzungumza na wananchi wa Lamadi. Ninawashukuru sana kwa kujitokeza kwa wingi njiani, kwa upendo, dua, sala na baraka.