Gweso Gibore🇹🇿 (@giborejr) 's Twitter Profile
Gweso Gibore🇹🇿

@giborejr

Proud Tanzanian | @ChelseaFc fan | entrepreneur

ID: 2758209298

calendar_today01-09-2014 13:16:36

13,13K Tweet

2,2K Followers

2,2K Following

TheProtégéTZ (@giboretz) 's Twitter Profile Photo

Simba 5 kama mkono Highlight ya Simba SC 5-1 Pamba Jiji FC 🟥 Pamba Jiji FC Jean Ahoua ⚽️⚽️⚽️ 1—Yanga SC Pointi 70 Mechi 26 2—Simba SC Pointi 66 Mechi 25 Nani atachukua hili Kombe? Magoli yote kupita Azam TV hapo hapa chini👇

Simba 5 kama mkono 

Highlight ya Simba SC 5-1 Pamba Jiji FC

🟥 Pamba Jiji FC

Jean Ahoua ⚽️⚽️⚽️

1—Yanga SC Pointi 70 Mechi 26
2—Simba SC Pointi 66 Mechi 25

Nani atachukua hili Kombe?

Magoli yote kupita <a href="/azamtvtz/">Azam TV</a> hapo hapa chini👇
TheProtégéTZ (@giboretz) 's Twitter Profile Photo

Magoli yote ya Yanga v Namungo 1. Jean Charles Ahoua 15⚽️ 2. Prince Dube 14⚽️ Nani atachukua kiatu cha mfungaji bora? Kupitia: AzamTv

Magoli yote ya Yanga v Namungo

1. Jean Charles Ahoua 15⚽️
2. Prince Dube 14⚽️

Nani atachukua kiatu cha mfungaji bora?
Kupitia: AzamTv
TheProtégéTZ (@giboretz) 's Twitter Profile Photo

SHANGA...UTAMBULISHO, UTAMADUNI NA UREMBO WA KIAFRIKA Ushawahi kuziona au pengine kuzivaa (kwa wanawake, wanaume hawavai shanga acha usenge😃) Wengine wanasema demu akiwa shanga muogope, wengine zinaongeza mzuka. Je unajua maana yake kwa nini wanawake wanazivaa?

SHANGA...UTAMBULISHO, UTAMADUNI NA UREMBO WA KIAFRIKA

Ushawahi kuziona au pengine kuzivaa (kwa wanawake, wanaume hawavai shanga acha usenge😃)

Wengine wanasema demu akiwa shanga muogope, wengine zinaongeza mzuka.

Je unajua maana yake kwa nini wanawake wanazivaa?
TheProtégéTZ (@giboretz) 's Twitter Profile Photo

BAADHI YA VIFAA AMBAVYO ZIMEPIGWA MARUFUKU NCHI NYINGI LAKINI UNAWEZA KUVINUNUA MTANDAONI Unataka ku'hack' simu, whatsapp au instagram ya mtu? Au hutaki kununua bando unataka uhack WIFI? Shuka navyo🧵

BAADHI YA VIFAA AMBAVYO ZIMEPIGWA MARUFUKU NCHI NYINGI LAKINI UNAWEZA KUVINUNUA MTANDAONI

Unataka ku'hack' simu, whatsapp au instagram ya mtu? 

Au hutaki kununua bando unataka uhack WIFI?

Shuka navyo🧵
TheProtégéTZ (@giboretz) 's Twitter Profile Photo

MAJINA YA MIKOA YA TANZANIA NA MAANA ZAKE KULINGANA NA ChatGPT🇹🇿 Je wazungu wa ChatGPT wanafahamu jina la mkoa wako lilipatikanaje? Cheki kisha niambie kwenye comment kama wamepatia au wamezingua Shuka nao🧵 📸Mbeya, TZ🇹🇿

MAJINA YA MIKOA YA TANZANIA NA MAANA ZAKE KULINGANA NA ChatGPT🇹🇿 

Je wazungu wa ChatGPT wanafahamu jina la mkoa wako lilipatikanaje? 

Cheki kisha niambie kwenye comment kama wamepatia au wamezingua  

Shuka nao🧵

📸Mbeya, TZ🇹🇿
TheProtégéTZ (@giboretz) 's Twitter Profile Photo

MAKABILA YENYE MUONEKANO WA AJABU DUNIANI Kila genetics ina upekee wake, ipi kati ya hizi ambayo imekuvutia zaidi? Kuanzia kabila lenye vidole viwili vya miguu hadi rangi nyeuse wenye nywele za rangi ya dhahabu, shuka nao🧵

MAKABILA YENYE MUONEKANO WA AJABU DUNIANI

Kila genetics ina upekee wake, ipi kati ya hizi ambayo imekuvutia zaidi?

Kuanzia kabila lenye vidole viwili vya miguu hadi rangi nyeuse wenye nywele za rangi ya dhahabu, shuka nao🧵
TheProtégéTZ (@giboretz) 's Twitter Profile Photo

Adriano: The Emperor Who Walked Away ⚽️👑 (This isn't a story of football biggest fumble but story about love and loss) He wasn’t just a footballer — he was a force of nature. A left foot like a cannon, a frame built for war, and a hunger that defenders feared before the

Adriano: The Emperor Who Walked Away ⚽️👑

(This isn't a story of football biggest fumble but story about love and loss)

He wasn’t just a footballer —
he was a force of nature.
A left foot like a cannon,
a frame built for war,
and a hunger that defenders feared before the
TheProtégéTZ (@giboretz) 's Twitter Profile Photo

6 Things in Africa That Sound Fake… But Are 100% Real Africa is full of things that sound fake… until you see them. 🌍 From a blooming desert to underwater waterfalls, reality here beats fiction. a thread 🧵

6 Things in Africa That Sound Fake… But Are 100% Real

Africa is full of things that sound fake… until you see them. 🌍

From a blooming desert  to underwater waterfalls, reality here beats fiction.

a thread 🧵
TheProtégéTZ (@giboretz) 's Twitter Profile Photo

MAKAZI YA MABANDA/MAKAZI DUNI (SLUMS) MAKUBWA ZAIDI AFRIKA Mara nyingine nyuma ya magorofa mazuri ya majiji nyuma yake ni makazi duni ya wananchi wa kawaida Kutoka Tandale🇹🇿 hadi Makoko🇳🇬 Hivi kati ya Tandale na Kigogo kupi kubaya zaidi? shuka nao🧵👇👇

MAKAZI YA MABANDA/MAKAZI DUNI (SLUMS) MAKUBWA ZAIDI AFRIKA

Mara nyingine nyuma ya magorofa mazuri ya majiji nyuma yake ni makazi duni ya wananchi wa kawaida

Kutoka Tandale🇹🇿 hadi Makoko🇳🇬

Hivi kati ya Tandale na Kigogo kupi kubaya zaidi?

shuka nao🧵👇👇
TheProtégéTZ (@giboretz) 's Twitter Profile Photo

Jangwa la Sinai, Misri🇪🇬 Hili jukwaa la sinema la wazi (outdoor threatre) lilijengwa miaka 1990's na mjasiriamali wa kifaransa. Halikuwahi kuonesha filamu hata moja kutokana na jenereta kufeli siku ya ufunguzi wa jukwaa hili. Biashara ni nzuri ila usiingie kichwakichwa mzee

Jangwa la Sinai, Misri🇪🇬

Hili jukwaa la sinema la wazi (outdoor threatre) lilijengwa miaka 1990's na mjasiriamali wa kifaransa.

Halikuwahi kuonesha filamu hata moja kutokana na jenereta kufeli siku ya ufunguzi wa jukwaa hili.

Biashara ni nzuri ila usiingie kichwakichwa mzee
TheProtégéTZ (@giboretz) 's Twitter Profile Photo

🧵UTAPELI (SCAMS) KUBWA ZINAZOHUSISHWA NA WAAFRIKA Kuanzia kwa jamaa aliyeuzia benki ya Brazil uwanja wa ndege feki hadi Hushpuppi. Hawa ni waafrika matapeli waliofanya utapeli mkubwa na wa kusisimua zaidi. Upi utapeli wa akili nyingi hapa? Mimi huyu jamaa wa uwanja wa

🧵UTAPELI (SCAMS) KUBWA ZINAZOHUSISHWA NA WAAFRIKA

Kuanzia kwa jamaa aliyeuzia benki ya Brazil uwanja wa ndege feki hadi Hushpuppi.

Hawa ni waafrika matapeli waliofanya utapeli mkubwa na wa kusisimua zaidi.

Upi utapeli wa akili nyingi hapa? 

Mimi huyu jamaa wa uwanja wa