Gervas Maiko Sulle
@germaiko
Biologist and Wildlife Ecologist,
Professional Hunter,
Mgombea wa Ubunge 2020 (CHADEMA),Katibu wa CHADEMA Mkoa wa Manyara, Makamu Mwenyekiti Kanda ya Kaskazini
ID: 291300621
01-05-2011 19:34:03
12,12K Tweet
2,2K Followers
674 Following

Hivi viongozi wetu wa sasa wa Serikali ya CCM na Chama Cha Mapinduzi wanasikiliza wosia wa Baba wa Taifa kweli? Au wanapuuza? Sisi wananchi tunmwamini Baba. vm.tiktok.com/ZMBgNtvEQ/ This post is shared via TikTok Lite. Download TikTok Lite to enjoy more posts: tiktok.com/tiktoklite

US Embassy Tanzania #brutality #torture #humiliation #animalism CCM must Go #SamiaMustGo

Nimemsikiliza Mh Jakaya Kikwete akisifu mifumo ya uchaguzi wa Kenya. Katika nchi yetu Tanzania Rais huyo staafu sijamsikia akisaidia uongozi uliopo kuunda transparency katika mifumo yetu ili uchaguzi uwe wa huru na haki. Anaposifu mifumo ya Kenya hataki ya Tanzania iwe wazi na huru?

Kwa hiyo Murillo Police Force TZ atuambie nani kawakamata maana wajibu wa upelelezi wa wahalifu ni kazi yao! Lakini kwa huu uthibitisho wa picha aje hadharani kubisha. Kutokanq na maelezo yake, siku nyingine watu wakikabiliana na polisi kwa kuwahisi ni wahilifu itakuwa sahihi? Ona picha!

Ila magereza na nyie sijui mlipokea amri kutoka Mshamba gani huko Ukonga Mnamrekodi Tundu Antiphas Lissu akiwa na wageni wake alafu mnakataza wasiongee lugha tofauti na Kiswahili? Yaani familia iisongee kikabila, na kiingereza mkisikia mnaanza kuweweseka Kwani mnampelekea nani hiyo