Juma (@generaljay123) 's Twitter Profile
Juma

@generaljay123

ID: 1575522206892916736

calendar_today29-09-2022 16:26:25

5,5K Tweet

340 Followers

165 Following

HUNTER (@hunterjay12345) 's Twitter Profile Photo

Humu watu wengi wapo nje za nchi nimeamini, wakati naanza kulalamika kuhusu mtandao wao walikuwa wanadai Simu yangu mbovu. πŸ™ŒπŸ™Œ

HUNTER (@hunterjay12345) 's Twitter Profile Photo

Katika zama hizi za kidigitali kufungiwa kwa mtandao kunakuwa na athari kubwa kwa jamii na uchumi wa nchi. Nchi nyingi zimechukua hatua hii kwa sababu mbalimbali zikiwemo usalama wa taifa kuzuia maandamano na kudhibiti uvujaji wa taarifa nyeti. Je kwetu inaweza kuwa shida nini?

HUNTER (@hunterjay12345) 's Twitter Profile Photo

πŸ’° Kuwa Balozi wa Mkeka na Betway. πŸ€‘ Weka mkeka upate code yako na shea na marafiki kila wiki ya mechi. Utapata 4% kwa kila dau la mkeka watakaloweka marafiki zako kwa kutumia code yako. ⬇️ Pakua app kucheza sasa: betwayapptz.onelink.me/avgH/dtbujdan #BetNaBetway

πŸ’° Kuwa Balozi wa Mkeka na Betway.
 
πŸ€‘ Weka mkeka upate code yako na shea na marafiki kila wiki ya mechi. Utapata 4% kwa kila dau la mkeka watakaloweka marafiki zako kwa kutumia code yako.

 ⬇️ Pakua app kucheza sasa: betwayapptz.onelink.me/avgH/dtbujdan

#BetNaBetway
HUNTER (@hunterjay12345) 's Twitter Profile Photo

Wanawake wa MBEYA wengi wao wanazo NDEVU kama wanaume.. Ukikutana na Tomboy unaweza jichanganya ujue mwanaume kumbe wakike..

HUNTER (@hunterjay12345) 's Twitter Profile Photo

Rayvanny inaonekana bado anakinyongo juu ya Tuzo za TMA kwasababu anadai kuwa kaonewa hivyo imepelekea kujitoa asishiriki. Lakini kwanini kila siku analalamika na kupost show zake za nje ambazo alialikwa while ameshatangaza kujitoa? Wasanii inabidi wafanye mambo kiprofessional

Rayvanny inaonekana bado anakinyongo juu ya Tuzo za TMA kwasababu anadai kuwa kaonewa hivyo imepelekea kujitoa asishiriki.

Lakini kwanini kila siku analalamika na kupost show zake za nje ambazo alialikwa while ameshatangaza kujitoa?

Wasanii inabidi wafanye mambo kiprofessional