Gaspar Kudera🔬(@gaspar_gbk) 's Twitter Profileg
Gaspar Kudera🔬

@gaspar_gbk

~Lab scientist hodari🔬

ID:1515945416449269764

calendar_today18-04-2022 06:50:31

5,4K Tweets

2,2K Followers

981 Following

Gaspar Kudera🔬(@gaspar_gbk) 's Twitter Profile Photo

Kuna muda inabidi ufanye kitu kwa sababu watu wanahitaji uwafanyie hivyo ili mradi tu wewe hakikuathiri kwa namna yoyote.

Utakuja uachike, Ohoo!😂

account_circle
Arnold Rwekaza(@mzalendo_r) 's Twitter Profile Photo

Wengi umfahamu kiumbe huyu (Mosquitoe/Mbu) kwa umaarufu wake wa kusambaza wadudu wa Malaria. Leo nakujuza kuwa anaweza kusambaza na kusababisha magonjwa mengine 15. Usisahau kuwa Mabusha na Matende sio kulogwa bali huyu jamaa anahusika pia.
of Entomology news

Wengi umfahamu kiumbe huyu (Mosquitoe/Mbu) kwa umaarufu wake wa kusambaza wadudu wa Malaria. Leo nakujuza kuwa anaweza kusambaza na kusababisha magonjwa mengine 15. Usisahau kuwa Mabusha na Matende sio kulogwa bali huyu jamaa anahusika pia. #Angle of Entomology news
account_circle
Christina Mwakisole 🇹🇿(@ChristinaMwaki2) 's Twitter Profile Photo

Grateful to meet Minister of Community development, Gender, Women and Special groups,Honorable Dr. Dorothy Gwajima In the Medical Women Association of Tanzania GA .
She shared insights on the work done by the ministry in advancing women wellbeing in the country and how can young people engage in the process

Grateful to meet Minister of Community development, Gender, Women and Special groups,Honorable @Dr_DGwajima In the @mewata_tanzania GA . She shared insights on the work done by the ministry in advancing women wellbeing in the country and how can young people engage in the process
account_circle
Mbise Frank(@Mbise11) 's Twitter Profile Photo

Glory to GOD
Wimbo huu ukusaidi kujua wewe ni nani na kusudi lako ni lipi
Nimefanana nae YESU , Tumeumbwa kwa Sura na Mfano wa MUNGU yaani exactly Sijui kama ukifahamu hivi utajichukulia wa kawaida.




Now in YouTube
youtu.be/RMVMf-Bbqqo?si…

account_circle
Yuda Sule🇹🇿(@YudaSulePascha1) 's Twitter Profile Photo

Watanzania waliokutana MUHAS wakiwa wanasoma shahada ya Ufamasia, wakaingia kwenye mfumo wa uongozi na kupata nafasi ya kutumikia kwa nafasi nyingi ndani ya chuo cha MUHAS na chama cha Wafamasia wanafunzi Tanzania(TAPSA) , wanaendelea kuwa viongozi bora Tanzania ~GIANTS

Watanzania waliokutana MUHAS wakiwa wanasoma shahada ya Ufamasia, wakaingia kwenye mfumo wa uongozi na kupata nafasi ya kutumikia kwa nafasi nyingi ndani ya chuo cha MUHAS na chama cha Wafamasia wanafunzi Tanzania(TAPSA) , wanaendelea kuwa viongozi bora Tanzania ~GIANTS
account_circle
Gaspar Kudera🔬(@gaspar_gbk) 's Twitter Profile Photo

Msimu wa 20222/2023 kacheza mechi 27 na akafunga jumla ya mabao 2, halafu 2023/2024 akacheza michezo 19 akaambulia bao 1.

Mchezaji kacheza jumla ya games 46 na magoli 3, kuna mchezaji hapa?🤣

account_circle
Gaspar Kudera🔬(@gaspar_gbk) 's Twitter Profile Photo

REFEREE AMEGAWA KADI KAMA PIPI😅

BARCELONA FC
R. Araujo. ___🟥
I. Gundogan. ___🟨
R. Lewandowski _🟨
Raphinha. ___🟨

PSG
K. Mbappe. ___🟨
Marquinhos. ___ 🟨
F. Ruiz. ___🟨
G. Dunnarumma.🟨

Barcelona 1-4 PSG (Aggregate 4-6)

REFEREE AMEGAWA KADI KAMA PIPI😅 BARCELONA FC R. Araujo. ___🟥 I. Gundogan. ___🟨 R. Lewandowski _🟨 Raphinha. ___🟨 PSG K. Mbappe. ___🟨 Marquinhos. ___ 🟨 F. Ruiz. ___🟨 G. Dunnarumma.🟨 Barcelona 1-4 PSG (Aggregate 4-6)
account_circle