Haruna Hamisi(@ItsSirHaruna1) 's Twitter Profileg
Haruna Hamisi

@ItsSirHaruna1

B.Pharm|Pre-market evaluator in quality, safety and efficacy of Medicine

ID:1009476650520727553

calendar_today20-06-2018 16:42:43

14,4K Tweets

7,1K Followers

7,3K Following

Eliangiringa Kaale(@eliangiringa1) 's Twitter Profile Photo

Advancing Tanzania’s research ethics and medicine regulatory capacities (ASCEND) medicine.st-andrews.ac.uk/news/advancing…

account_circle
MSDtz(@MsdTanzania) 's Twitter Profile Photo

Wataalamu wa Afya kutoka nchini Sierra Leone leo wametembelea Bohari ya Dawa (MSD) kwa lengo kujifunza na kubadilishana uzoefu kuhusu shughuli za Ugavi, Uhifadhi, Uendeshaji, Ununuzi, Huduma kwa Wateja, Sera, Udhibiti Ubora, pamoja na mambo mengine yanayohusu mnyororo wa Ugavi.

OMA🌺🌹(@maureen_omeni) 's Twitter Profile Photo

'My salary came Yesterday and immediately I received alert, I rushed to my husband and asked him how much he needs me to contribute after informing him that my salary has been paid.

Guy thought I was joking and mentioned a figure thinking I was going to contest because it was

'My salary came Yesterday and immediately I received alert, I rushed to my husband and asked him how much he needs me to contribute after informing him that my salary has been paid. Guy thought I was joking and mentioned a figure thinking I was going to contest because it was
account_circle
Fumbo Khan(@fumbokhanJr) 's Twitter Profile Photo

Kocha kaomba Kusepa
Inonga anaomba kusepa
Che malone anataka kusepa
Chama na Saidoo wanataka kusepa.

Bado Mangungu na board yake yote wanakomalia Team tuu, hawana ata Aibu hawa wazee.

Kocha kaomba Kusepa Inonga anaomba kusepa Che malone anataka kusepa Chama na Saidoo wanataka kusepa. Bado Mangungu na board yake yote wanakomalia Team tuu, hawana ata Aibu hawa wazee.
account_circle
𝐃𝐫.π™πšπœπ€β„’πŸ‡ΉπŸ‡Ώ(@__abdulazack) 's Twitter Profile Photo

Mheshimiwa Rais Samia Suluhu yupo nchini Kenya kwa ziara ya kikazi (Aprili 28 - Aprili 30) ambapo atashiriki Mkutano wa Mfuko wa Kimataifa wa Maendeleo (IDA) wa Benki ya Dunia.

Kupitia mfuko huo, Tanzania imefikisha umeme kwa zaidi ya wananchi milioni 2.5 vijijini pamoja na

Mheshimiwa Rais Samia Suluhu yupo nchini Kenya kwa ziara ya kikazi (Aprili 28 - Aprili 30) ambapo atashiriki Mkutano wa Mfuko wa Kimataifa wa Maendeleo (IDA) wa Benki ya Dunia. Kupitia mfuko huo, Tanzania imefikisha umeme kwa zaidi ya wananchi milioni 2.5 vijijini pamoja na
account_circle
Thomas J. Kibwana(@thomasjkibwana) 's Twitter Profile Photo

Mara zote Juma Mgunda akipewa kusimamia Simba anafanya kazi nzuri. Sielewi kwa nini hatumpi tu ukocha mkuu moja kwa moja.

account_circle
MSDtz(@MsdTanzania) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Somalia Mheshimiwa Hassan Sheikh Mohamud amesema nchi yake imeamua kushirikiana kwa karibu na Bohari ya Dawa ya Tanzania katika ununuzi wa bidhaa za afya na kubadilishana uzoefu wa namna mnyororo wa ugavi wa bidhaa za afya unavyofanya kazi.

Wizara ya Afya Tanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ(@wizara_afyatz) 's Twitter Profile Photo

Waziri wa Afya Mheshimiwa Ummy Mwalimu, MP akimuongoza Rais wa Somalia Mheshimiwa Dkt. Hassan Sheikh Mohamud kutembelea Bohari ya Dawa (MSD) leo Aprili 27,2024 Jijini Dar Es Salaam. Aliye upande wa kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa MSD Bw. Mavere Tukai

Waziri wa Afya Mheshimiwa @ummymwalimu akimuongoza Rais wa Somalia Mheshimiwa Dkt. Hassan Sheikh Mohamud kutembelea Bohari ya Dawa (MSD) leo Aprili 27,2024 Jijini Dar Es Salaam. Aliye upande wa kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa MSD Bw. Mavere Tukai #MtuniAfya #TunaboreshaAfya
account_circle
MSDtz(@MsdTanzania) 's Twitter Profile Photo

Elimu juu ya majukumu ya MSD na bidhaa kinga ikiendelea kutolewa kwa wageni mbalimbali wanaotembelea banda la MSD, kwenye maonyesho ya Kimataifa ya Usalama na Afya mahali pa kazi kwa mwaka 2024, yanayofanyika kitaifa katika viwanja vya General Tyre Mkoani Arusha.