GABRIEL GABRIEL (@gabrielgab85848) 's Twitter Profile
GABRIEL GABRIEL

@gabrielgab85848

REPUBLIC OF TANZANIA 🇹🇿🇹🇿🇹🇿

ID: 1915437255092580352

calendar_today24-04-2025 16:08:33

2 Tweet

2 Followers

113 Following

GABRIEL GABRIEL (@gabrielgab85848) 's Twitter Profile Photo

NATOA POLE KWA FAMILIA ZOTE ZILIZOPOTEZA NDUGU ZAO,MUNGU AWAJALIE UVUMILIVU,NA MUNGU AWAPE FURAHA YA MILELE MAREHEMU WOTE WAPUMZIKE KWA AMANI🙏🙏🇹🇿

GABRIEL GABRIEL (@gabrielgab85848) 's Twitter Profile Photo

Uvccm Kuna mahala tukubali tumeshindwa kutekeleza wajibu wetu kwanini, kwasababu uvccm lengo letu ni kutatua kero za vijana wote wa chama tawala na kuhakikisha tunawasemea vijana wetu,lakini Kwa uhalisia tukae chini tutafakari hapo tutajua wapi tumekosea na wapi tulekebishe.

GABRIEL GABRIEL (@gabrielgab85848) 's Twitter Profile Photo

Kuna mahali viongozi mliopewa dhamana ya kumsaidia mheshimiwa rais hamfanyi wajibu wenu,mpaka raisi aje kusemea kero za wananchi eneo Fulani hiyo inaashiria hamtimizi wajibu wenu,watumikieni wananchi Kwa moyo na uzalendo,na ndiyo maana mmechaguliwa kuwa hapo,na siyo kuwa mzigo🙏